Wiki nzima bila kutongozwa

You are my disease!!! understanding,caring and forgiving........:A S-heart-2:

What else can i ask from a man????:nono::nono:

michelle taratibu mpenzi,
unanifanya nijisikie nipo dunia ya 3 kwa haya maneno yako,yalojaa mahabuba!!!!
inshalaah, mungu akubariki na azidi kukupa moyo wa kuendelea kunithamini!
 
Acha mawazo ya uzinifu - Fanya kazi kwa bidii kwa manufaa yako na ya familia yako sasa na baadaye
mwambie maana hawa watu wa aina hii ndo waliojaa humu jf wanatia jamvi aibu,badala ya kuleta hoja za maana analeta mambo ya kufikirika,mi nadhani ni watoto hawa!na mpaka wakue kazi tutakuwa nao
 
Whatever done (failures, successes, love affairs etc) should be evaluated at end of the day. Hapo unaweza kujipima na kuona mwelekeo unaofaa. Kwake yeye sasa hapo anatambua ni wapi kwa wiki hiyo ama alipatia au alikosea. Keep up Nazjaz!!!
 
hi bacha, michalle+EMT +finest +hash ycool if possibo someni sredi ya
Can You Marry A Jobless Man? uone watu wanavyoolewa kwa kufwata mshiko na sio mapenzi.mtakubali nilionewa kwenye ile sredi yangu ya Mmasai vs Mmarangu.

Nimeisoma mama labda hawa wengine,hujaona comment yangu pale,ebu angalia......

Natumaini na wengine watasoma,waache tabia ya kuonea watu kumbe ndo maisha yalivyo.........
 
mhh kazi kwelikweli,we ndio wale wasioweza ishi bila mwanaume inavyoonekana.

Juzi wakati nipo Tanga niliwasiliana na mdada mmoja yupo Korogwe nilikuwa nina salam zake, usiku wake akanitumia msg " Mamdogo mwanao anaenda mamba club usiku huu eti anasema yeye hawezi kulala bila mwanaume" baada ya dakika tatu akapiga akasema kakosea katuma kwangu hiyo msg inafanafana na hako kaujumbe kako.
 
mmhhh huo ulionao wewe cjui ni wivu cjui ni hasira wallah bado cjajua nini??? kwahiyo wee nikuulize bas kidogo ndugu yako humkiss wew asubuh au wazazi wako au rafik yako sidhan kama kiss inamaana tofauti...
Hilo busu lako ndio litafanya utongozwe mfululizo mpaka hesabu ipotee.....
 
mmhhh huo ulionao wewe cjui ni wivu cjui ni hasira wallah bado cjajua nini??? kwahiyo wee nikuulize bas kidogo ndugu yako humkiss wew asubuh au wazazi wako au rafik yako sidhan kama kiss inamaana tofauti...

Sio hasira ni wivu, mimi simbusu mtu ninaeweza kumwoa ila wale nilioharamishiwa kuwaoa...............
 
Back
Top Bottom