Wiki nzima bila kutongozwa

Kumbe akina dada huwa mnafanya tathmini kwa siku, wiki na mwaka mmetongozwa mara ngapi!!!! Nilikuwa sijui.

Mi mwenyewe mdada na ninamshangaa.........hata mie nilikuwa sijui ati......

Nafikiri kuna watu wamepungukiwa vitu vya kuwaza na kutathmini....can't believe it!!
 
Wanajamvi, hili suala lenye hisia. sisi waafrika huwa tunaficha hisia zetu sana. Wanawake wameumbwa na hisia nyingi, hupendwa kuenziwa, attention na pia hata kuhudumiwa kwa kipao mbele. Huyu dada anchoongea si maanake ni muhuni lahashaa! bali ni ukweli kwamba hio inampa confidence kwamba she is existing. kila asubuhi jaribu kumuambia mkeo umependeza, umeumbika mpenzi. na wakati ukisafiri ata miss hizo

Nakubaliana na wewe lakini huyu mtoa mada hii ishu yake kaitoa kinamna tofauti na wewe ulivyoielezea na ndio maana watu kama hawajamuelewa vile!!
 
mh shost una hatar wewe..uongozane na bacha?
utafika safar yenyewe?
ahh km ivo basi mi nimegair safar yenyewe
bacha hafai uyo ennh!!

ukisikia umbea ndo huu sasa,
mwone vile, ndo maana nimekupa kinuno!!!!!
 
Mi mwenyewe mdada na ninamshangaa.........hata mie nilikuwa sijui ati......

Nafikiri kuna watu wamepungukiwa vitu vya kuwaza na kutathmini....can't believe it!!

hujambo michelle,
mbona leo hujaja ukumbini,
nini kulikoni dear?
 
Wote wanawaza ngono, lakini kuna muda wa kufanya hivyo!! Na ndio maana last week hukutongozwa na mtu yeyote kwa sababu huenda wanaume hawakuwa na mawazo ya ngono wakati wewe ulikuwa nayo.

Ha ha ha ha.......i agree with you!!
 
mmmmhhhhh hadi wewe domo zege,au unahonga??:shock:

utu uzima dawa michelle,
najua wewe ulinimwaga kwasababu za kimsingi kabisa,
lakini nashukuru kuwa ulitambua kosa lako,
na sasa umerudi, karibu mama!
 
Ahahahaaaaah Bacha naona Rose anataka kukupeperushia ndege wako!!

Bana eee, bora umeliona hilo katavi
sijui ananitakia nini huyu binti,
Haya ndo matatizo ya kukaa wiki nzima bila kutongozwa!
 
utu uzima dawa michelle,
najua wewe ulinimwaga kwasababu za kimsingi kabisa,
lakini nashukuru kuwa ulitambua kosa lako,
na sasa umerudi, karibu mama!
hi bacha, michalle+EMT +finest +hash ycool if possibo someni sredi ya
Can You Marry A Jobless Man? uone watu wanavyoolewa kwa kufwata mshiko na sio mapenzi.mtakubali nilionewa kwenye ile sredi yangu ya Mmasai vs Mmarangu.
 
Katika dunia hii ya Ukimwi ulipaswa kwenda kanisani ama msikitini kutoa sadaka na kumshukuru mungu kwa hilo.
 
utu uzima dawa michelle,
najua wewe ulinimwaga kwasababu za kimsingi kabisa,
lakini nashukuru kuwa ulitambua kosa lako,
na sasa umerudi, karibu mama!

You are my disease!!! understanding,caring and forgiving........:A S-heart-2:

What else can i ask from a man????:nono::nono:
 
Back
Top Bottom