Wiki nzima bila kutongozwa

Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (lm kidding, siamini mambo ya nyota)

Dada sometimes kuna vitu vinapelekea watu wakufatefate....., na kukusumbua mfano mavazi au mwenendo wako..., kuna vazi ukivaa utasumbuliwa kila mahali wachache wanachukulia ni kama welcome sign..... nadhani ukiwa serious wengine wanaweza wakawa wanakupenda lakini wanakuogopa... kumbuka
"Desperation is like stealing from the Mafia: you stand a good chance of attracting the wrong attention"

sijasema kwamba wewe ni desperate lakini ukitaka kila mtu akusimamisha vaa mavazi ya kimvuto-mvuto utapata attention mpaka mwenyewe utashangaa..., lakini 99.9% itakuwa sio unayoitaka itakuwa ni kero
 
Hutaki niongee ukweli?
Hivi kati ya wanawake na wanaume ni wepi wanawaza ngono zaidi?
acha mawazo ya uzinifu - fanya kazi kwa bidii kwa manufaa yako na ya familia yako sasa na baadaye
 
Hutaki niongee ukweli?
Hivi kati ya wanawake na wanaume ni wepi wanawaza ngono zaidi?

Mmmmm mbona sifiki nilikotokea, Husninyo naomba uendeshe wewe manake hapa ishaanza kuwa noma.
 
Mmmmm mbona sifiki nilikotokea, Husninyo naomba uendeshe wewe manake hapa ishaanza kuwa noma.

LD, mimi Bacha,
naruhusiwa kukuongoza?
naona unapata tabu, na jinsi njia ilivyo na bumps za kumwaga, acha tu!
 
eeeh basi wiki utakayoona kimya naomba uje upite mtaani kwetu,maana vijana wanakukatia jicho kuanzia utokako mpaka uelekeapo.wa kutongoza atatongoza.ila mi nilishabuni mtindo,huwa nikiona mwanaume mwenye dalili ya kuntongoza nakunjaga sura kishenzi pia nakua serious hapo hata salamu anaogopa kutoa.:A S-fire1:
 
Kunitongoza hakumaanishi umenipata.
Wakariobishwa, uje ukiwa umeoga, umefua sox zako, umepigwa mswaki na uwe unanukia polo perfume kwa mbali ili nisiboreke kuongea na wewe
kutongozana!!!!!
 
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa ana sifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.

Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine wakusalimie, wengine wapige jicho ili mradi wajiburudishe, na wale walio na ushujaa na ujasiri huwa hawasiti kukutongoza, na hapa kila mwanaume ana gia zake za kumwingia mwanamke.

Je dada mwenzangu huwa unajisikiaje ikipita wiki nzima hujasalimiwa na wavulana wenye jicho la kukutamani, hujatongozwa na wala hujasifiwa?

Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (l'm kidding, siamini mambo ya nyota)
:car:
:car:
c u!!!
 
LD, mimi Bacha,
naruhusiwa kukuongoza?
naona unapata tabu, na jinsi njia ilivyo na bumps za kumwaga, acha tu!

Afadhali bacha umetokea hebu nipe msaada, Niongoze tafadhali, lakini na wewe usinipeleke chaka ee!!
 
Rose subiri tuongozane na bacha unaweza ukazidi kupotea mpendwa

mh shost una hatar wewe..uongozane na bacha?
utafika safar yenyewe?
ahh km ivo basi mi nimegair safar yenyewe
bacha hafai uyo ennh!!
 
Kumbe akina dada huwa mnafanya tathmini kwa siku, wiki na mwaka mmetongozwa mara ngapi!!!! Nilikuwa sijui.
 
Kumbe akina dada huwa mnafanya tathmini kwa siku, wiki na mwaka mmetongozwa mara ngapi!!!! Nilikuwa sijui.

SI WOTE
IYO STLE YAKE SI WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOTE mmh mhh apana nooooo!!!!!nagoma nabisha!!!!!
 
Back
Top Bottom