wiki inakatika sasa..

wiki inakatika sasa..

Princess Preta wanakuzingua tu hao. Libolo ni timu ya soka ya Angola iliyoifunga timu yangu ya Simba last week.

bora umekuja wewe.......hawa walikuwa wananizengua tu.....Libolo Libolo....kila mahali.....nikajiuliza ni kitu gani hiki......
 
bora umekuja wewe.......hawa walikuwa wananizengua tu.....Libolo Libolo....kila mahali.....nikajiuliza ni kitu gani hiki......

Hata uvungeje! Unalo hilo!
Limekung'ang'ana Halimochoki !
 
kwani Libolo ni kitu gani.....?...ni nini hasa.......?

521410_418210074935521_1108213767_n.jpg



Picha kwa hisani ya vivian wa JF
 
Last edited by a moderator:
ikiwa wiki inaelekea ukingoni nnaomba kwa heshima na taadhima nitambue maneno yaliyoshika kasi wiki hii, ni LIBOLO na ZOMBIE, akaaa mie sitaki stress weka na wewe ya kwako.....

watu kwa sifa hamjambo..
 
Back
Top Bottom