Wiki hii Baba Hajafanya Show Yoyote Kunani?

Wiki hii Baba Hajafanya Show Yoyote Kunani?

Kama kawaidaaa kama ngomaa kama dedeee, tumezoea kila wiki Baba anapiga show MUBADlSHARAAA kabisa. Leo ni Ijumaa KIMYAAAA hakuna MUBASHARA wowote.....

Japo Janaaa Kaka wa Jijiii, Ilikuwa ni Kumbukizi ya kuja kwake duniani....Haijakiiii wala nini......


Da ila Baba amefuruliza kweli.....toka Yia 2019 ianzee yaani full MAMUBASHARAA....dadadeekiii....kidogo tu MUBASHARAAAA.......


Kunani hukooooo??????

Mbona wiki hiii kimyaaaaaa...............?????

Hata mgwasi yule talk wake kimyaaaaaa........!!!


KUNANIIIIII.......????!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Unadhani anapenda kuwa mubashara daily???

Tatizo ni Tundu lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini mnapenda kuabudu watu? Kila kitu Tundu Lissu yaani huwezi kwenda msalani bila Tundu Lissu? Hayo anayoyaongea si ndio kila siku mnayoyasea hapa JF na kila mahali? Nini kipya? Yale Yale ya kila siku.
Mara ICC Mara kwa Trump!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
na bado mpaka mpizi vyura mwaka huu.
Mliwaonea Kibanda na Ulimboka hamjaridhika, sasa mmekikwaa kisiki cha mpongo
 
Hadi leo sijaamini mzee baba amekubali site ya stigle gogi kukabidhiwa bila ya yy kuuza sura kunako eneo la tukio.
 
Mkuu nakuahaidi kuwa tutakutafuta utueleze vizuri kama unajua maana ya uzalendo au la.
 
Kama kawaidaaa kama ngomaa kama dedeee, tumezoea kila wiki Baba anapiga show MUBADlSHARAAA kabisa. Leo ni Ijumaa KIMYAAAA hakuna MUBASHARA wowote.....

Japo Janaaa Kaka wa Jijiii, Ilikuwa ni Kumbukizi ya kuja kwake duniani....Haijakiiii wala nini......


Da ila Baba amefuruliza kweli.....toka Yia 2019 ianzee yaani full MAMUBASHARAA....dadadeekiii....kidogo tu MUBASHARAAAA.......


Kunani hukooooo??????

Mbona wiki hiii kimyaaaaaa...............?????

Hata mgwasi yule talk wake kimyaaaaaa........!!!


KUNANIIIIII.......????!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
.
IMG_20190217_163558.jpeg


Jr[emoji769]
 
Mbio za nyani huishia jangwani " fungeni mikanda andaeni mashamba hali ni tete
 
Tundu lissu kapiga mtu moja kubwa yachembe anasikilizia tu maumivu...ngoja week ijayo aanze kuweweseka utamuona
 
  • Thanks
Reactions: bmk
[emoji14][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sillu noma anakavoice kwa sauti ya kwanza kanakera sana Lumimbaaaa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jamani msiponiona kanitafuteni mto ruvu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom