Wiki hii Baba Hajafanya Show Yoyote Kunani?

Mi haka kajamaa tu
IMG_20190218_192727.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Balozi wetu ndiye mtanzania pekee mwenye kifua

Balozi wetu alikuwa na guts, lakini it was far from an even playing field

Masingili against Tundu Lissu, Bobby Wine na Zungu moja lime specialize kwenye African Human Rights! Masilingi hajawahi kufanya free press interview hata siku moja maishani mwake...

Tundu akaanza kuchanika, Tanzania kuna political prisoners including chairman of opposition, Mzee Shaka akamuuliza Masilingi ya kweli haya?

Akasema FALSE ABSOLUTELY

Babu Shaka akamuuliza, so you mean they are free?

Balozi wetu akasema NO, they are in RUMANDE...

hahahahaaaaaaa
 
Kama kawaidaaa kama ngomaa kama dedeee, tumezoea kila wiki Baba anapiga show MUBADlSHARAAA kabisa. Leo ni Ijumaa KIMYAAAA hakuna MUBASHARA wowote.....

Japo Janaaa Kaka wa Jijiii, Ilikuwa ni Kumbukizi ya kuja kwake duniani....Haijakiiii wala nini......

Da ila Baba amefuruliza kweli.....toka Yia 2019 ianzee yaani full MAMUBASHARAA....dadadeekiii....kidogo tu MUBASHARAAAA.......

Kunani hukooooo??????

Mbona wiki hiii kimyaaaaaa...............?????

Hata mgwasi yule talk wake kimyaaaaaa........!!!

KUNANIIIIII.......????!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba ako ee

#bamia_ndefunene
 
Balozi wetu alikuwa na guts, lakini it was far from an even playing field

Masingili against Tundu Lissu, Bobby Wine na Zungu moja lime specialize kwenye African Human Rights! Masilingi hajawahi kufanya free press interview hata siku moja maishani mwake...

Tundu akaanza kuchanika, Tanzania kuna political prisoners including chairman of opposition, Mzee Shaka akamuuliza Masilingi ya kweli haya?

Akasema FALSE ABSOLUTELY

Babu Shaka akamuuliza, so you mean
they are free?

Balozi wetu akasema NO, they are in RUMANDE...

hahahahaaaaaaa
Hahahaha aisee nimecheka sana

Mtunzi wa movie katumbuliwa.. tunasubiri uteuzi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Balozi wetu alikuwa na guts, lakini it was far from an even playing field

Masingili against Tundu Lissu, Bobby Wine na Zungu moja lime specialize kwenye African Human Rights! Masilingi hajawahi kufanya free press interview hata siku moja maishani mwake...

Tundu akaanza kuchanika, Tanzania kuna political prisoners including chairman of opposition, Mzee Shaka akamuuliza Masilingi ya kweli haya?

Akasema FALSE ABSOLUTELY

Babu Shaka akamuuliza, so you mean
they are free?

Balozi wetu akasema NO, they are in RUMANDE...

hahahahaaaaaaa
😅😅😅
 
Jiwe bwana alishazoea akisema kitu anashangiliwa Sasa juzi juzi dingilai akiwa na wale watu wa mhimili mwingine alikuwa anaongea akataka kuchekesha watu wale wakamdeshi. Alipogeuza shingo kuangalia response akakuta wengine wamelala mdomo wazi huku wengine wakimkodolea ikabidi apotezee ile kushangilia imekwisha mzeee baba

ha haha ha haha hahaaaaaaaaa
 
Kama kawaidaaa kama ngomaa kama dedeee, tumezoea kila wiki Baba anapiga show MUBADlSHARAAA kabisa. Leo ni Ijumaa KIMYAAAA hakuna MUBASHARA wowote.....

Japo Janaaa Kaka wa Jijiii, Ilikuwa ni Kumbukizi ya kuja kwake duniani....Haijakiiii wala nini......

Da ila Baba amefuruliza kweli.....toka Yia 2019 ianzee yaani full MAMUBASHARAA....dadadeekiii....kidogo tu MUBASHARAAAA.......

Kunani hukooooo??????

Mbona wiki hiii kimyaaaaaa...............?????

Hata mgwasi yule talk wake kimyaaaaaa........!!!

KUNANIIIIII.......????!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda yuko kwenye dose ya mwezi huu
 
Back
Top Bottom