Huyu dada kujishaua kwake kulimwisha baada ya wigi lake kumdondoka na mikogo yote kwisha. Kwa hiyo kama kuna jamaa alikuwa pembeni kampenda kwa urefu wa nywele zake. Inawezekana alibadilisha mawazo baada ya tukio.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.