Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Siku zote maskin akipata ma***ko hulia mwata,Jamani mwenzenu na wifi yangu mke wa kaka angu baada ya kuukwaa Ukurugenzi huko Dodoma ameanza nyodo zilizo pitiliza wakati nilimpokea mwenyewe mjini kaja kujiendeleza kimasomo Chuo kikuu na tulikuwa tunakula dagaa leo hii amepata ukurugenzi anasema hawezi kabisa kufika kwangu anataka alale guest nilipo muuliza mbona pakulala nimekuandalia akasema hadhi yake hawezi kabisa kulala kwangu mitaani pale guest bei gani chumba nikamwambia zipo za Tsh.10000-30000/= akasema hakuna guest yenye hadhi ya kulala yeye akaniambia anaenda Sinza kulala kwenye guest za hadhi yake kwakweli ubinadamu kazi jamani.
Hapa Faiza Foxy umemaliza mada.Wewe nae ulitaka akuambie kinachompeleka kulala huko na wewe ni wifi yake kakuheshimu, unanini weyee?
Jamani mbona wakati hana kitu alikuwa anakuja kulala kwangu leo kupanda cheo ndo iwe dharau hivi?
Sasa unataka kumlazimisha jamani?
Waswahili nasi hatuna jema, ndo yake yale ya asipokua nacho akaja kwako ohhh ananijazi nyuma.Siku akipata akaenda kwingine ohhh kanidharau.We mwache akalale huko, kwani unapungukiwa nini?Ukute mtu na mumewe wamekubaliana alafu eti dada mtu ndio analalamika.
achana nae kwanza mpotezee na no yake ifute kwenye simu yako!
Sawa kumbuka haya ni maisha tu je na mm ningemfanyia dharau wakati anasoma Chuo si ingekuwa balaa.
Kinacho niuma kaja na bia nyumbani hata kushuka kwenye gari hakushuka akawa ananieleza hayo kibaya zaidi alikuwa na bia akawa anazitupa chini eti utakunywa hizo kashusha kioo ananitupia kama mbwa nyie mnao mtetea hayajawakuta yaani nitupiwe bia chini kwa vile mimi maskini kweli??????????
Sawa kumbuka haya ni maisha tu je na mm ningemfanyia dharau wakati anasoma Chuo si ingekuwa balaa.
Kinacho niuma kaja na bia nyumbani hata kushuka kwenye gari hakushuka akawa ananieleza hayo kibaya zaidi alikuwa na bia akawa anazitupa chini eti utakunywa hizo kashusha kioo ananitupia kama mbwa nyie mnao mtetea hayajawakuta yaani nitupiwe bia chini kwa vile mimi maskini kweli??????????
Jamani mbona wakati hana kitu alikuwa anakuja kulala kwangu leo kupanda cheo ndo iwe dharau hivi?
mbona hiyo ya bia za kopo kukutupia hujatuhadithia?! ehh ilikuaje??Kimeniuma sana kitendo cha kunitupia bia za kopo kama mbwa jamani ubinadamu kazi kwakweli
Jamani mbona wakati hana kitu alikuwa anakuja kulala kwangu leo kupanda cheo ndo iwe dharau hivi?
Inawezekana kielimu she wasn't deserved the position of being mkurugenzi, lakini Makalio yakampa qualification!
Kimeniuma sana kitendo cha kunitupia bia za kopo kama mbwa jamani ubinadamu kazi kwakweli
ebu bandika picha yake tumuone!Sawa kumbuka haya ni maisha tu je na mm ningemfanyia dharau wakati anasoma Chuo si ingekuwa balaa.Kinacho niuma kaja na bia nyumbani hata kushuka kwenye gari hakushuka akawa ananieleza hayo kibaya zaidi alikuwa na bia akawa anazitupa chini eti utakunywa hizo kashusha kioo ananitupia kama mbwa nyie mnao mtetea hayajawakuta yaani nitupiwe bia chini kwa vile mimi maskini kweli??????????
Wewe nae kakutupia kakuletea? mtu yupo ndani ya gari, bize, kakushushia haraka haraka, ngoja atakualika hukohuko ndio utasema vizuri.
Sio dharau, mwache atumie "privilege" zake. Hata mimi nikisafiri sipendi kufikia kwa ndugu, jamaa na marafiki, huwa napenda nifikie Hoteli kila nnapoweza, yanini tabu na raha ipo. Wakati hana, mtabanana hapohapo, lakini anaweza kwa sasa, kheee, mbona mna nongwa hivi?