Wifi kazidi dharau

Tena ningekua mie ningekufukuza hapo hospitali
mume wangu anaumwa wewe unasomba mtaa mzima waje kumwona ya nini?
kawa maonesho?
Magonjwa mengine yanahitaji privacy.

Jifunze kusikiliza mziki na kucheza kwa kufuata beat sio unajichezea tu

miwivu ya kitoto, kwanza una miaka mingapi?nisije kuwa natolewa povu na kitoto hata hakijui ukurugenzi ni nini

Unajua kibaya zaidi juice yenyewe wamenunua majirani zangu na sijanunua mimi maana aliuliza huu uchafu nani kaleta akaonyeshwa wale majirani zangu yaani ubinadamu kazi jamani
 
Dua la kuku halimpati mwewe
tena atapata na urais kabsa
Grow up!!

Maisha yamebadilika pindi alipo pata ukurugenzi basi amekuwa juu dharau ndo kabisaaa siku akiukwaa uwaziri au ukatibu mkuu sijui itakuwaje
 
You guys have issues.
Juzi unelalamika na leo tena umerudi.
Umeshamweleza yeye kwamba hufurahii anavyokufanyia au unaishia kunong'ona tu pembeni?
Kama kweli anakukera ongea nae. . .kulalamika hapa tu hakiwezi kumbadilisha.
 
Mi nahisi huyu dada ndo mbaya
kwa hali ya kawaida mtu understanding yyt
ukiona mtu hakutaki kwake unasepa?!
Sasa huyu kila siku kwa wifi yake na majirani juu
utajuaje kama alienda msanifu?
Au kati ya mashot aliwahi liwa na kaka mtu?

julieth Ms let your wifi be
au wataka olewa na kaka yako?
Pole mwaya, uwe unaenda kumuona kaka yako tu vitu vingine kuhusiana na wifi yako jaribu kumpotezea maana ana dharau sana. Naona hizo hela/cheo zinampa dharau sana. Ila zina mwisho wake!!!!!!
Duniani sisi tunapita tu na hizo hela tutaziacha hapahapa!
 
Nikiangalia tu urgument zake humu
naona huyu dada mleta mada ndo mwenye tatizo
kwanza yuko obssesed na mafanikio ya wifi yake
hasa huo ukurugenzi
afu kuzira kumuuguza kaka wala kumsalimia
uwezo wake wa kujaji uko????????
I dont buy this at all

You guys have issues.
Juzi unelalamika na leo tena umerudi.
Umeshamweleza yeye kwamba hufurahii anavyokufanyia au unaishia kunong'ona tu pembeni?
Kama kweli anakukera ongea nae. . .kulalamika hapa tu hakiwezi kumbadilisha.
 
We nae unaonekana una wivu sana
ukurugenzi wa wifi yako unakukatisha mauno ya nini?
Piga kazi na wewe uwe kameneja angalau
kutwa kucha kutuchoshwa na malalamiko ya kitoto ya wifi yako
kaa kwako ulee familia yako wifi yako hakutaki
uko so obsessed na mafanikio yake
she has made it deal with it.

Hiii ni zaidi ya klorokwini...chungu kumeza chungu kutema..!! #Yabebe kama yalivyo wewe dada wa bro.
 
wengi mbona mnajadili wifi tu,haya dada wa kaka naye ana shida si bure hata majibu yake na response kwa wifi yake sufuri
 
maisha ndivyo yalivyo.
mwombeeni tu mgonjwa apate ahueni,
mambo mengine yatapita tu.
 
Mrembo, kwanini huyo wifi yako anakupotezea time yako yani anakushughulisha sanaaa, mdharau kama pesa ni zake tena ningekua wewe ningejaribu sana kumuepuka nisingekua namfata fata, wala kujua anafanya nini kama mgonjwa nendeni time ambayo yeye hayupo salimieni muishie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom