WiFi, HiFi na Coi3

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
5,758
Reaction score
6,692
Habarini ndugu zangu! Natumaini mnaendlea vizur na ujenz wa taifa hili! Mimi kilio changu ni hzi terminologies nazokumbana nazo bila kujua nini maana yake na znasaidia nini! Naomben kujuzwa nini maana ya WiFi, HiFi na Coi3 na nini mchango wake na faida zake kwenye computer na simu! Natanguliza shukrani!
 
hapo naielewa kidogo wifi,ni kifupi cha wireles fidelity,ni teknolojia ya kuaccess internet bila waya,mfano kwenye laptop bila modem,tab bila line.
 
Mkuu kwanini upate shida wakati muheshimiwa GOOGLE yupo kwaajili hiyo? Just search on google.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…