nimekupata mkuu,,, tambua nimewasomesha shemeji zangu wawili mmoja mpaka chuo, hawataki kutafuta kazi, na dadao anawadekeza,,,, kwa maelezo yake anaweza kuwatunza milele....so...tumefika hapo,, na ningekuwa na roho mbaya hata kwangu wasingekaa muda wote,,,,,,Mkuu jaribu kuwa na moyo wq kutoa, yote hayo ni kuifanya dunia sehemu nzuri ya kuishi...
Hao shemeji zako wana hali mbaya, kama wangekua wanajitosheleza kamwe usingewaona kwako, zaidi sana wangekuja kusalimia tu...
Usiwe na roho ya chuki, it's a world where we know nothing even the next second, hujui kesho yatakukuta nini, they so say "kufa kufaana"...
Watoe lock up hao wapendwa, sambaza upendo mkuu...
Pole sana mkuu,kuoa kwa leo ni shida sana,tunaoa vituko,me niko cool sana linapokuja swala la kuoa,wanawake wa leo wamekua ni vitukowe got 10yrs bro,,, nimefanya mengi sana kwa upande wao, mpaka nilitengwa kwetu....nilipogutuka ndo nikaanza kuyanyoosha mpaka yakapinda tena......
mkuu je mke wako ni hawa wa chuo waliosoma wa chuo?
wanawake wasomi ndo walivyo mkuu,jipange
c.c Mgirik MO11
https://www.jamiiforums.com/mahusia...wanaoolewa-ni-darasa-la-saba-na-form-4-a.html
we got 10yrs bro,,, nimefanya mengi sana kwa upande wao, mpaka nilitengwa kwetu....nilipogutuka ndo nikaanza kuyanyoosha mpaka yakapinda tena......
nimekupata mkuu,,, tambua nimewasomesha shemeji zangu wawili mmoja mpaka chuo, hawataki kutafuta kazi, na dadao anawadekeza,,,, kwa maelezo yake anaweza kuwatunza milele....so...tumefika hapo,, na ningekuwa na roho mbaya hata kwangu wasingekaa muda wote,,,,,,
kwa hilo atakuwa amejifunza kitu
ndo hao hao mkuu,,, jangaa mkuu...
mule mule kaka,,,, maranguuu....kaka mtihani mkubwa sana....sema tuu kaka,,, naweza pona...
Una kazi, mkeo kabila gani vile(najua watu wataanza eeh eeh kabila halihusiki), amini nawaambia kuna vijitabia vya kimakuzi.
Ila kifupi una kiranga, mmoja hamas mwingine mwizrael. Hata nikisema umkalishe sijui kama atakuelewa.
Labda uwape mtaji wa biashara au uwatafutie kazi.
kaka mie nipigana kivyangu mpaka hapa nilipo,,,,, usitengeneze hadithi......yes nimefanya kumfundisha adabu,,,,, unaweza kusema chochote ila hutageuza mada,,, karibuWee ni kyasaka?
Sikutegemea meku afanye haya, vijana wa kiume kulelewa.kwa dada yao?
Jamani mie ni mwanamke, lakini naheshimu hela ya mshkaji kinoma, hata yeye kwenye hilo ananikubali.Wanawake wengi ni janga la taifa