Somo zuri kwa hao wakaguaji. Hasa huyu Erickb52, Kaizer, Aspirin, na PakaJimmy.
Nashukuru kunijuza wakaguzi
wife pia sio vocha, kwamba unaikwangua muda woteeeeeeee! Khaaaa!
Somo zuri kwa hao wakaguaji. Hasa huyu Erickb52, Kaizer, Aspirin, na PakaJimmy.
Nafuta kauli! Nisamehe PJ.
sweetladyPakaJimmy hayumo kwenye list tafadhali.
wife pia sio vocha, kwamba unaikwangua muda woteeeeeeee! khaaaa!
sweetlady
Asante mwaya kwa kunisafisha kutokana na tuhuma na kashfa nzito zilizoelekezwa kwangu na mtu asiyenitakia mema. Nadhani ningekuwa naishi jirani na pale kwao Mchambiasime angenilewesha Konyagi na kunipeleka hadi Mabwepande, sasa huko labda angening'a ULIMI kwa kutumia ile spana ya mabomba inayoitwa pipe-range!.
Remmy Nimekusamehe best yangu, najua Sweetlady amekunukuu vibaya, alijua anamsema Mwigulu Chemba, kumbe wewe dear!
wife pia sio vocha, kwamba unaikwangua muda woteeeeeeee! khaaaa!