Wife swapping club

"The clubs are very common in countries like California". Really? New Country?

Ya Ngoswe mwachie Ngoswe tu....hii nchi STD's ni nyingi sana na vile upimaji ni shida au mpaka hali iwe mbaya kuna mengi usiyoyaelewa hatari yake.

kama kweli una nia njema anza kuorodhesha familia yako ,mke,mume,dada zako na kaka zako,binamu na wengineo.

Sio kila kitu chafaa kuiga.

 
Back
Top Bottom