Wife Materials

Wife Materials

Rural Swagga

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
1,643
Reaction score
1,175
Hawa ni wanawake ambao wanakuwa wameshapevuka kimawazo na mtazamo kuhusu mapenzi na maisha kwa ujumla. Hawaangalii sura, mavazi, fedha wala starehe, bali huzingatia yule ambaye anaweza kumfanya ajione yupo salama, vilevile atakayejenga naye maisha.
Zingatio lao ni amani, furaha, upendo, usalama na maisha. Mwanaume anayeshindwa kumpa mwanamke vitu hivi, hujiwekea doa bila mwenyewe kujua. Jambo zuri zaidi kwa wanawake hawa ni kwamba wao ni walimu, halafu ni wavumilivu wakubwa.huhitaji wanaume ambao kipaumbele chao ni maisha. Mara nyingi ni wachapakazi na hupigania kushirikiana na waume zao katika kujaza pato la familia. Ni walezi wazuri wa watoto, inapotokea waume zao kushindwa kuwajibika ipasavyo kwa namna yoyote ile.Inawezekana mwanaume ametelekeza familia, anasumbuliwa na maradhi yanayomfanya ashindwe kutafuta riziki, amefariki dunia au amekumbwa tu na msukosuko wa kiuchumi, mwanamke wa kundi hili hubaki imara na kuhakikisha familia inaendelea kupata mahitaji muhimu.
Wanawake hawa siyo kila mara wanaweza kuwa wafanyakazi au wafanyabiashara. Wengine ni akina mama wa nyumbani lakini uwezo wao ni mkubwa katika kudhibiti matumizi, kupanga maendeleo na kusimamia familia, kuanzia kwa baba mpaka watoto.

NOTE:Hawa ndiyo huipa nguvu ile tafsiri kwamba nyuma ya kila mwanaume aliyefanikiwa, yupo mwanamke imara, aliyetia msukumo wa hayo mafanikio.SOURCE GPL:wink:
 
asente. tunaomba pia sifa za husband material
 
::
Wanapatikana kwa bahati au una mbinu unisaidie Mhe Rural Swagga?
=
 
Last edited by a moderator:
asente. tunaomba pia sifa za husband material
Naahidi kukutafutia,Ila ukiona umeweza kummiliki mwanamke kama huyo niliyemtaja hapo juu basi wewe ni Husband Material
 
Hawa ni wanawake ambao wanakuwa wameshapevuka kimawazo na mtazamo kuhusu mapenzi na maisha kwa ujumla. Hawaangalii sura, mavazi, fedha wala starehe, bali huzingatia yule ambaye anaweza kumfanya ajione yupo salama, vilevile atakayejenga naye maisha.
Zingatio lao ni amani, furaha, upendo, usalama na maisha. Mwanaume anayeshindwa kumpa mwanamke vitu hivi, hujiwekea doa bila mwenyewe kujua. Jambo zuri zaidi kwa wanawake hawa ni kwamba wao ni walimu, halafu ni wavumilivu wakubwa.huhitaji wanaume ambao kipaumbele chao ni maisha. Mara nyingi ni wachapakazi na hupigania kushirikiana na waume zao katika kujaza pato la familia. Ni walezi wazuri wa watoto, inapotokea waume zao kushindwa kuwajibika ipasavyo kwa namna yoyote ile.Inawezekana mwanaume ametelekeza familia, anasumbuliwa na maradhi yanayomfanya ashindwe kutafuta riziki, amefariki dunia au amekumbwa tu na msukosuko wa kiuchumi, mwanamke wa kundi hili hubaki imara na kuhakikisha familia inaendelea kupata mahitaji muhimu.
Wanawake hawa siyo kila mara wanaweza kuwa wafanyakazi au wafanyabiashara. Wengine ni akina mama wa nyumbani lakini uwezo wao ni mkubwa katika kudhibiti matumizi, kupanga maendeleo na kusimamia familia, kuanzia kwa baba mpaka watoto.

NOTE:Hawa ndiyo huipa nguvu ile tafsiri kwamba nyuma ya kila mwanaume aliyefanikiwa, yupo mwanamke imara, aliyetia msukumo wa hayo mafanikio.SOURCE GPL:wink:
Jipe moyo tu utaachwa kila siku.mwanaume kutafuta pesa .mwanaume bila pesa Hana nafasi Kwenye jamii.mwanaume utafutaji tena sasa hivi pesa zinahitajika mnoo plastic surgery,na boobs na mengine .mwanamke maintenance na pesa yake hatumii inakaa bank .A men is a head of household utakwenda motoni usipohudumia mke .ukiachwa usilalamike
 
Husband materials

1.He has a work-life balance.

2.He respects you.

3.
He is honest

4.
He shares his plans of his future with you.

5.
He is comfortable around your family.

6.
You have common interests.

7.
He is financially secure.
 
No 7 muhimu
Mnoooo .
 
duh hapa Natalia umeua,, kwa mwendo huo wacha ni :crying:
:crying::crying:... nitarudi baadae nikipata feza ili ni :bange: na mke mwema
..
 
Last edited by a moderator:
::
Zion Daughter
Am moneyless material ,,will that chase away wife material?
=

Ukiona kakimbia ujie huyo si ule ubavu wako unaomisi..Tafuta ubavu wako ukiufitisha hautachomoka..
Ngoja nikuambie mtizamo wangu kuhus pesa...Mwanaume kuwa moneyless si tatizo..tatizo lipo kwenye kubweteka na kuridhika na hali hiyo..Pesa zinatafutwa.Na pesa ni ya muhimu sana hata makanisani na ndio maana sadaka zinasisitizwa..Na cha msingi pia kumbuka mwanaume ni PROVIDER kwa familia na mwanamke ni msaidizi..
 
Last edited by a moderator:
Hawa ni wanawake ambao wanakuwa wameshapevuka kimawazo na mtazamo kuhusu mapenzi na maisha kwa ujumla. Hawaangalii sura, mavazi, fedha wala starehe, bali huzingatia yule ambaye anaweza kumfanya ajione yupo salama, vilevile atakayejenga naye maisha.
Zingatio lao ni amani, furaha, upendo, usalama na maisha. Mwanaume anayeshindwa kumpa mwanamke vitu hivi, hujiwekea doa bila mwenyewe kujua. Jambo zuri zaidi kwa wanawake hawa ni kwamba wao ni walimu, halafu ni wavumilivu wakubwa.huhitaji wanaume ambao kipaumbele chao ni maisha. Mara nyingi ni wachapakazi na hupigania kushirikiana na waume zao katika kujaza pato la familia. Ni walezi wazuri wa watoto, inapotokea waume zao kushindwa kuwajibika ipasavyo kwa namna yoyote ile.Inawezekana mwanaume ametelekeza familia, anasumbuliwa na maradhi yanayomfanya ashindwe kutafuta riziki, amefariki dunia au amekumbwa tu na msukosuko wa kiuchumi, mwanamke wa kundi hili hubaki imara na kuhakikisha familia inaendelea kupata mahitaji muhimu.
Wanawake hawa siyo kila mara wanaweza kuwa wafanyakazi au wafanyabiashara. Wengine ni akina mama wa nyumbani lakini uwezo wao ni mkubwa katika kudhibiti matumizi, kupanga maendeleo na kusimamia familia, kuanzia kwa baba mpaka watoto.

NOTE:Hawa ndiyo huipa nguvu ile tafsiri kwamba nyuma ya kila mwanaume aliyefanikiwa, yupo mwanamke imara, aliyetia msukumo wa hayo mafanikio.SOURCE GPL:wink:

Yap, ni kweli mkuu!
 
Ukiona kakimbia ujie huyo si ule ubavu wako unaomisi..Tafuta ubavu wako ukiufitisha hautachomoka..
Ngoja nikuambie mtizamo wangu kuhus pesa...Mwanaume kuwa moneyless si tatizo..tatizo lipo kwenye kubweteka na kuridhika na hali hiyo..Pesa zinatafutwa.Na pesa ni ya muhimu sana hata makanisani na ndio maana sadaka zinasisitizwa..Na cha msingi pia kumbuka mwanaume ni PROVIDER kwa familia na mwanamke ni msaidizi..

::
Zion Daughter!!!
Ehuu!!
=
 
Last edited by a moderator:
Jipe moyo tu utaachwa kila siku.mwanaume kutafuta pesa .mwanaume bila pesa Hana nafasi Kwenye jamii.mwanaume utafutaji tena sasa hivi pesa zinahitajika mnoo plastic surgery,na boobs na mengine .mwanamke maintenance na pesa yake hatumii inakaa bank .A men is a head of household utakwenda motoni usipohudumia mke .ukiachwa usilalamike
hahahahaha!!! Huu ni mtizamo wako,,Na hii kitu ina Apply kote kote uwe na pesa usiwe na pesa Mwanamke Bora anahusika sana.
 
Husband materials

1.He has a work-life balance.

2.He respects you.

3.
He is honest

4.
He shares his plans of his future with you.

5.
He is comfortable around your family.

6.
You have common interests.

7.
He is financially secure.
I Agree with you 100%
 
Back
Top Bottom