Wanaume wengi hupenda kuoa wanawake wenye tabia na mienendo mizuri (wife materials). Ndiyo maana kukawa na usemi kuwa uzuri wa mwanamke siyo urembo ni tabia.
Lakini imedhihirika pasipo shaka kuwa wanawake wengi ambao ni wife materials hawavutii kwa sura na shape. Wapo wapo tu na ndiyo maana wananyenyekea kwa wapenzi wao na watu wengine na hivyo kutafsiriwa kama wife materials.
Na hii ndiyo sababu ya wanaume wengi kuchepuka na kuwafuata hao wenye shape na sura zao nzuri ila wamepungukiwa tabia nzuri.
My take:
Ili usichepuke tafuta mke atakaye amsha hisia zako. Usiangalie tabia nzuri kwani wewe mzazi wake? Au wewe ni kasisi/shekhe? Unaenda kuitumia wapi hiyo tabia.
Lengo hasa (specific objective) la ndoa ni mgegedo. Sasa unaenda kuoa polygon kisa tu lina tabia nzuri, siku 2 unakuwa umelichoka unasikia kinyaa hata kufuatana nalo mtaani ama kulitoa out. Kwann unajibebesha dhambi bure?
Unachukua dubwana likizaa mzao mmoja linaonekana kama mamako mzazi. Mkiongozana linapewa shikamoo halafu wewe unaambiwa za saa hizi kaka.
Acheni hizo mwanamke ni shape na sura tabia nzuri akamuonyeshe baba yake.
Kuna mwanamke ana umbo la "polygon"....?!
Kweli mitaala ya Tz imefika pabaya.
Hongera bila shaka unafanana na umbo moja wapo hapo View attachment 221100
Mkuu kama mke anatabia ya umalaya mume anatakiwa abadilikaje?
Wanaume wengi hupenda kuoa wanawake wenye tabia na mienendo mizuri (wife materials). Ndiyo maana kukawa na usemi kuwa uzuri wa mwanamke siyo urembo ni tabia.
Lakini imedhihirika pasipo shaka kuwa wanawake wengi ambao ni wife materials hawavutii kwa sura na shape. Wapo wapo tu na ndiyo maana wananyenyekea kwa wapenzi wao na watu wengine na hivyo kutafsiriwa kama wife materials.
Na hii ndiyo sababu ya wanaume wengi kuchepuka na kuwafuata hao wenye shape na sura zao nzuri ila wamepungukiwa tabia nzuri.
My take:
Ili usichepuke tafuta mke atakaye amsha hisia zako. Usiangalie tabia nzuri kwani wewe mzazi wake? Au wewe ni kasisi/shekhe? Unaenda kuitumia wapi hiyo tabia.
Lengo hasa (specific objective) la ndoa ni mgegedo. Sasa unaenda kuoa polygon kisa tu lina tabia nzuri, siku 2 unakuwa umelichoka unasikia kinyaa hata kufuatana nalo mtaani ama kulitoa out. Kwann unajibebesha dhambi bure?
Unachukua dubwana likizaa mzao mmoja linaonekana kama mamako mzazi. Mkiongozana linapewa shikamoo halafu wewe unaambiwa za saa hizi kaka.
Acheni hizo mwanamke ni shape na sura tabia nzuri akamuonyeshe baba yake.
kila mwanamke ni wife material itategemea ww tu unahitaji material ya aina gani.!over
Maana ya maisha ni kutoa na sio kupokea,najua hili ni gumu sana kwako kwasababu umefundishwa nipe nikupe au wakati mwingine nipe na mimi nisikupe ....
Kuna binadamu wana umimi sana na hawa ndio walioharibu sana dunia na watu wake,kimsingi kila binadamu kaja hapa kutoa na sio kupokea,hivyo wote ni watoaji tu,kupokea ni matokeo ya kutoa hivyto kama hutoi usitarajie kupokea
Lakini siku hizi kila mtu anataka mtu wa kumpa tu na hakuna ambae anataka kutoa,sasa maisha yataenda vipi?
Unapotafuta mtu wa tabia fulani funali hiyo inakuwa inamaana kwamba unakuwa umejiandaa kupokea tu bila kutoa,tumeumbwa kuishi wote humu duniani na wenye mitazamo tofauti na tabia tofauti pia,kile ambacho tunapaswa kutoa ni upendo [sio wa kingono]
Kila mtu mwenye tabia yoyote tunapaswa kuishinae kwenye mahusiano yoyote yale iwe ya kindoa au yoyote ile na tuishi nao kwa upendo,kama mtu ana tabia fulani na umezijua anaepaswa kubadilika ni wewe sio yeye kwasababu jukumu la kutoa upendo [kubadilika] ni lako na sio lake,nae siku akijitambua atalijua jukumu lake na kuanza kutoa upendo
Hivyo ndivyo maisha yalivyo na sio kama tunavyoyataka sisi yawe!
Nimeipenda hii mkuu. Nadhani hii ndio toafuti. Kila mtu ana vigezo vyake.
Ushauri wako unawapotosha wenziyo na jinsi nilivyikusoma unatafuta mwanamke mrembo ili usifiwe mtaani na kwa Rafiki zako...ndoa c kitu cha mchezo utawezaje kuishi na lianamke ht kufanya usafi ndani kwake hawez kisa ana shape nzuri,hakika utakufa maskini daima
Wanaume wengi hupenda kuoa wanawake wenye tabia na mienendo mizuri (wife materials). Ndiyo maana kukawa na usemi kuwa uzuri wa mwanamke siyo urembo ni tabia.
Lakini imedhihirika pasipo shaka kuwa wanawake wengi ambao ni wife materials hawavutii kwa sura na shape. Wapo wapo tu na ndiyo maana wananyenyekea kwa wapenzi wao na watu wengine na hivyo kutafsiriwa kama wife materials.
Na hii ndiyo sababu ya wanaume wengi kuchepuka na kuwafuata hao wenye shape na sura zao nzuri ila wamepungukiwa tabia nzuri.
My take:
Ili usichepuke tafuta mke atakaye amsha hisia zako. Usiangalie tabia nzuri kwani wewe mzazi wake? Au wewe ni kasisi/shekhe? Unaenda kuitumia wapi hiyo tabia.
Lengo hasa (specific objective) la ndoa ni mgegedo. Sasa unaenda kuoa polygon kisa tu lina tabia nzuri, siku 2 unakuwa umelichoka unasikia kinyaa hata kufuatana nalo mtaani ama kulitoa out. Kwann unajibebesha dhambi bure?
Unachukua dubwana likizaa mzao mmoja linaonekana kama mamako mzazi. Mkiongozana linapewa shikamoo halafu wewe unaambiwa za saa hizi kaka.
Acheni hizo mwanamke ni shape na sura tabia nzuri akamuonyeshe baba yake.
Eti mtu uowe shepu ya tangawizi kisa tabia...aaghh wapiii... Yaani ikitokea mmealikwa sehemu hadi unawaza..."paka hata umuwekee bill ya steki atakimbiza panya tu"
hata hivo mwanamke sura na shape tabia tutarekebishana