TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,212
- 13,054
Wife material ni mwanamke wa aina gani
niambien kaka zang
ni aina fulani ya malighafi inayotumika kutengenezea mke.....
Wife material ni mwanamke wa aina gani
niambien kaka zang
mwanamke kama mimi.. sasa sijui nijielezeeje
Haya dear
Wife material ni mwanamke wa aina gani
niambien kaka zang
mwanamke kama mimi.. sasa sijui nijielezeeje
Wewe ni ........ material...
try mekwani wewe unaweza kudowloading? wife materials ni yule anayefaulu mitihani ya maisha na changamoto zake, huku akijua ku google kitandani. je ndio upo hivyo?
hiyohiyo kitu niliisahau lol!
ana material ya wife
try me
Mhm wenye waume zao kama huna jibebe
Kwani wewe in wife si bado haujafika huko au.....saiz uko kwenye girl materialmwanamke kama mimi.. sasa sijui nijielezeeje
Wife material ni mwanamke wa aina gani
niambien kaka zang