kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 484
kidhungu thikijui nimeingia kwenye dikshenari nimeambiwa wife ni mke na material ni kifaa.mke kifaa ni yule mwenye ile nini ile thijui ila miss chagga anaijua
hii coment yako mbona imencheksha!!
- am sweet
- lovely
- sex
- i know how to care
- funny
- responsible
- namjua Mungu
the last point should be the first one. Hapi nyu hiya. Hapi basi dei.
..wewe sio kabisa..jinsi navyokusomaga humu...hapana..labda kama humu tunazugamwanamke kama mimi.. sasa sijui nijielezeeje
..wewe sio kabisa..jinsi navyokusomaga humu...hapana..labda kama humu tunazuga
kidhungu thikijui nimeingia kwenye dikshenari nimeambiwa wife ni mke na material ni kifaa.mke kifaa ni yule mwenye ile nini ile thijui ila miss chagga anaijua
mwenye kalio kubwa
Anajua mume wangu atawaeleza akija hapa
Kwani mumumeo huwa nakueleza kuwa wewe ni waifu material?
Kwasababu yeye ni nwanamume anajua waivo wakoje mi sijui asee
Wife material ni mwanamke wa aina gani
niambien kaka zang
pumzika kwanza mke wangu...