wife material

wife material

Status
Not open for further replies.
Kwa mujibu wa google, wife material ni mwanamke
Asiye na madoido
Anayeelewana na ndugu, jamaa na majirani zake
Anayejua priorities za ndoa na familia
Asiye na majivuno
Asiyeendekeza majungu
Asiyependa kulipa visasi
Anayependa watoto

Added advantage:
Mwaminifu kwenye mahusiano
Good looking
Mcha Mungu
Mchapa kazi
Msomi
Mwajiriwa au mwenye kipato chochote halali...


Mengine ni kama walivyosema na watakavyoongeza wadau...

Kwangu mimi mwaminifu kwenye mahusiano ndio no1 hayo mengine ndio added advantage aisee.....
 
nimeogopa maana isije ikawa mgeni kaja leo kisha afaidi leo
hapana me nimkarimu nilitaka achangie changie kidogo si akae pale alipofungua tu ...... nimempa na kinywaji ila usitake kujua kip rafki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom