Akiwa na sura mbaya ila anasifa zilizosalia u wife material unapungua?Wife material anapimwa kwa vitu vingi na awe tayari kuishi maisha ya hali yeyote. Siyo kwenye good life awe poa ila ukishuka kiuchumi asepe!
Kwanza awe mzuri wa sura na akili na upendo wa dhati na hofu ya Mungu! Hii combination ikikubali mtafurahiana maishani mwenu na Mungu atawasaidia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wife material kwaupande wangu itategemea naukubwa watako lake. Kadri ukubwa watako unavyoongezeka ndivyo uwife material ninavyoupa thamani
Umesahau unyenyekevu mkuuNi yule amabaye yuko tayari kuwaacha ndugu zake akakubali kuishi na wewe katika shida na raha.
Hata Mimi nimejiulizaSie wenye sura chachu sio wife material eee?
Ata nikijiita mwenyew si kweli lakin??AKIKUJIBU UNITAG, USIKUTE KAJIITA MWENYEWE😀😀😀
WOII, NANI KAHAKIKISHA...WIFE MATERIAL UITWE SIO UJIITEAta nikijiita mwenyew si kweli lakin??
Woooiii ndo nshajiita mwenyew sasa.WOII, NANI KAHAKIKISHA...WIFE MATERIAL UITWE SIO UJIITE
HAHAHA PROVE TO ME BABYWoooiii ndo nshajiita mwenyew sasa.
Nasemajeeeee.mimi inna ni wife material
Nmekubali tule ugali dagaa wiki nzima[emoji3]HAHAHA PROVE TO ME BABY
HAHAAHAHAHANmekubali tule ugali dagaa wiki nzima[emoji3]
Wife material kwaupande wangu itategemea naukubwa watako lake. Kadri ukubwa watako unavyoongezeka ndivyo uwife material ninavyoupa thamani
ha ha ha ha,unaonyesha umeelewa vizuri somo;nakupatia alama A+Umesahau unyenyekevu mkuu
Sura nzuri ni kwa ajili ya mume wake tu.Akiwa na sura mbaya ila anasifa zilizosalia u wife material unapungua?
Unapoteeeeea sana.Nyau kweliii
Nipo diaUnapoteeeeea sana.
Habari yako jiraniNipo dia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oh,jiranii kwema..hali yako???Habari yako jirani
Usidanganyike upendo una expare kama anatamaa fulani utatemwa tu kua makini kwenye kuoa tafuta mlezi mzuri wa wanao mkuu. ukipenda muonekano uombe ubaki na maisha boraUpo sawa mkuu...kikubwq ni upendo tu mengine yatanyooka