Siku si nyingi utaachwa, maana una kelele sanaKuna mtu alimuwacha mke kwa kuwa ana jamba sana.
Mwengine alimuwacha mke kwa kuwa ana sauti kali.
Sio alimwacha bali ni ali machaSiyo alimuacha bali ni alimwacha.
Hahahahaha mkuu ulikusudia au umeteleza hahahaSio alimwacha bali ni ali macha
Siku si nyingi utaachwa, maana una kelele sana
faiza upo kwenye ndoa ya mke mmoja?Kelele zangu zinaanzia na kuishia katika kuwapa darsa JF.
wapo akitaka unyumba anakupa kwanza hela ya shoping nyie wa siku hizi hata chakula hujaacha unatakaJe wanaume material nao wapo...?
Maisha Ni kushirikishana...wapo akitaka unyumba anakupa kwanza hela ya shoping nyie wa siku hizi hata chakula hujaacha unataka
Mh!!"A shortcut to a man's heart is through his stomach"
Mmhkoh koh unajambiwa sana eeh
Mke: Mume wangu .... Mume wangu... Mume wangu..
Mme: Nini bwana tunasumbuana usiku....
Mke: Naomba nigeuke mbavu zinani...(Kofi, kelbu).
Mme: Kuamshana usiku kwa mambo ya kipuuzi sitaki, mwili wako ruhusa uniombe mimi? Pumbavu..
Mke: (Huku akilia) Lak...laki...lakini mume wangu mimi ni wife material..
Mme: Shenzi sana tangu uwe wife material, Loan Board wamepunguza 15%? Mshahara nyongeza imepanda? Yule nanihii amejiuzulu? Usiniletee uchuro usiku huu mimi.
Mke: (Kilio kinazidi) ba....ba..ba..si nis..ame...he.
Mme: Wee shhhshhhh usipigie watu kelele.
Siku imeisha

ndo uyajue sasaDunia ina mengi.
Tena mume akikuita anataka chakula na wewe unasoma umbea wa instagram unabinua midomo.

Ukitaka kujifunza kuhusu mahusiano unaweza ukasoma kwa miaka 300 bila kupata chetiDunia ina mengi.
ndo uyajue sasa
Mke: Mume wangu .... Mume wangu... Mume wangu..
Mme: Nini bwana tunasumbuana usiku....
Mke: Naomba nigeuke mbavu zinani...(Kofi, kelbu).
Mme: Kuamshana usiku kwa mambo ya kipuuzi sitaki, mwili wako ruhusa uniombe mimi? Pumbavu..
Mke: (Huku akilia) Lak...laki...lakini mume wangu mimi ni wife material..
Mme: Shenzi sana tangu uwe wife material, Loan Board wamepunguza 15%? Mshahara nyongeza imepanda? Yule nanihii amejiuzulu? Usiniletee uchuro usiku huu mimi.
Mke: (Kilio kinazidi) ba....ba..ba..si nis..ame...he.
Mme: Wee shhhshhhh usipigie watu kelele.
Siku imeisha

unamjua mtume gani wewe zaidi ya mtume lusekelo,mtume mwingira na malisa?uyo ni mke wa mtume gani mbona muwongo wewe
utakuwa na stress zako tu za maisha au unataka kutufurahisha tuuu