Wife material yupo hivi

Wife material yupo hivi

Kuna mtu alimuwacha mke kwa kuwa ................!

Mwengine alimuwacha mke kwa kuwa ana sauti kali.


Mi mwenzenu nimelelewa vibaya, maana kwangu "UKALI WA NYUKI NDIO UTAMU WA ASALI YAKE"!
Wazungu wanatuita watu wa aina yangu 'masochist', yaani kwa mfano jinsi FaizaFoxy unavyopashapasha watu mi ndo nakufa kwa mahaba! Yaani sijui nitakupata lini!!!!!!!?
 
hahaaha..bado mateke umesahau.
akigeuka na spidi yake wengine wanarusha miguu hewani wakishusha ombea usikutane mfupa kwa mfupa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom