Wife Material ndio yupi?

Yani umepiga mule mule Sina cha kuongeza hapo 😂😂
 
My husband wants this kind of a woman. Something which I am not.
 
Wife material is a man made idea. Mwanamke anaweza kujiweka kama "wife material" kutimiza lengo lake na kukuaminisha na bado usijue. Hivi vitu havina muongozo.
Soma tena ulicho andika uone kama unamake sense
 
Ndio akili yako imeishia hapa.
 
Everything is hard

Choose your hard,
Husband materials ndio tunatoka kanisani kwenye ibada ya misa takatifu sasa hivi na tunapitia buchani kununua nyama tukajipikie pilau wenyewe maana wanawake wanatukataa kwasababu eti hatuendi Clubs na hatunywi pombe. 😭😭
 
kanisa gani mnatoka saa hz kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…