😅😅😅Umetukana Kisukuma kabisa eti" nyoolo"Nyoooolo!😂😂😂 hivi kweli wewe ndoa unaitaka? Embu kwanza dili na mmevbana hayo mengine baadae.
Mwenyewe huu uzi nimeupenda sema naanzaje kumfata piem mtu hajaweka hata no. Embu kama humtaki nifundishe nikienda piem nithemeje?
Hapo umeniuza najua hiyo nyoolo mwadela,mwang'aluka, gwaiza, mmmh😂😅😅😅Umetukana Kisukuma kabisa eti" nyoolo"
Nyanebhe ng"wanike😅
Shusha Uzi nikuje piem 😂Hebu kuja pm kwanza tuangalie muafaka wa kuuaga ukapera😅
Ngoja nikutafutie Kaka Angu akuelekezeHapo umeniuza najua hiyo nyoolo mwadela,mwang'aluka, gwaiza, mmmh😂
Mimi mwenyewe kuhusu ndoa Bado sijajua Kama naitaka ama lah😂😂😂Nyoooolo!😂😂😂 hivi kweli wewe ndoa unaitaka? Embu kwanza dili na mmevbana hayo mengine baadae.
Mwenyewe huu uzi nimeupenda sema naanzaje kumfata piem mtu hajaweka hata no. Embu kama humtaki nifundishe nikienda piem nithemeje?
Yaan mno lazima tule ubwabwa sieAhsante mdogo angu, naona umepania ubwabwa wa harusi ya dada
Bladifakini huto tu miaka 27 basi unajiona likubwa kumbe hamna kitu! Sugar mamy au chumvi mamy!
Hawa watandaon nao si wanaishia mitaa yetu hiihii au wao WaPo sayari gan?Kama uko serious kweli Mungu akusaidie!!
But huwa najiuliza! Ni sababu ipi inayomfanya mtu kuwaamini watu wa mitandaoni kuliko wale ambao Anaonana nao ana KWA Ana??
jamani...sifa zote ninazo..hapo kwenye umaterial..bana tutafundishana..
Nipo hapa
Handsomeness is subjective.But Nina kaswali are you kahandsome japo kidogo hii kwa afya ya watoto wetu😂😂🤦
Mimi mwenyewe kuhusu ndoa Bado sijajua Kama naitaka ama lah
Suala la watoto na muonekano wa Baba yao ni muhimu mnooo
Zama piem chelewa chelewa ukute mwana si wako fursa adimu hizi..
Hapo ukifika piem usime vipingoja kwanza
😂😂😂😂Kwamba dada ako Sina sifa🤣🤣🤣🤣 weeh mtoto usitake kunitia aibuuuuzitoe wapi sasa hizo sifa? Usinichekeshe mie wee fursa yako bado. Kaa kwa kutulia.
Nisemeje sasa?Mimi mwenyewe kuhusu ndoa Bado sijajua Kama naitaka ama lah😂😂😂
Suala la watoto na muonekano wa Baba yao ni muhimu mnooo🤣🤣🤣🤣
Zama piem chelewa chelewa ukute mwana si wako fursa adimu hizi..😜
Hapo ukifika piem usime vipi 🤔ngoja kwanza
Kwamba dada ako Sina sifaweeh mtoto usitake kunitia aibuuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwelii eeeh...Ila najishangaa sijui nimekuaje🤭umechachuka siku hizi dada angu, umenipita had mie yaan
Nisemeje sasa?
Nilikuwa nawaza nikizama piem thijui nitheme hivi?
Mimi naitwa luckyline natokea chattle HQ.Nimekuja piem kufatia bango lako. Nina vigezo vyote na zaidi.
Je utanipenda na kunijali kwa kila kitu unipe na hela hata kama sijakupenda? Na mimi nitakupenda na ndugu zako wote.
Thenki yu.
Hii imekaaje niikopie piem? Kuna cha kuongeza au kupunguza?
Kwelii eeeh...Ila najishangaa sijui nimekuaje
Embu nirudishe kene mstari usije nikosa
Mleta uzi ukute ni ni mwanaume haswa lakini tutamchukulia poa kwakuwa ni humu jf sehem ya kupunguzia stress. Huyu ilitakiwa nikutane nae mitaani nijaribu bahati yangu. Ila kwa humu jf wacha tusindikize uzi hakuna kitu naogopa kama kukutana na mtu wa mitandaoni khanyie watu ntakufa kwa kucheka mie khaaah.
Mleta uzi ukute ni ni mwanaume haswa lakini tutamchukulia poa kwakuwa ni humu jf sehem ya kupunguzia stress. Huyu ilitakiwa nikutane nae mitaani nijaribu bahati yangu. Ila kwa humu jf wacha tusindikize uzi hakuna kitu naogopa kama kukutana na mtu wa mitandaoni kha
Haujanielewa ninachomaanisha!Hawa watandaon nao si wanaishia mitaa yetu hiihii au wao WaPo sayari gan?