Wife kanuna kisa nimepata shavu Uganda

Wife kanuna kisa nimepata shavu Uganda

Jack Pemba Kakamatwa Na polisi kwa kosa la kutakatisha mkwanja..Wewe Je Upo Salama.?
 
Mmh, pengine kaangalia uhusiano wako na huyo tapeli kaona utafungiwa jela za Uganda atashindwa kuja kukujulia khali,..... Hotel 5*,$15,000/= cash, Return ticket, roughly Tzs 45M na nyumba mnayoishi mmepanga kijitonyama, mimi pia nipo nae 100%
 
Kazi gani ulifanya huko UG ukapata hizo pesa?
Wakati mwingine mnawalaumu wake zenu kumbe wanaona mbali. Baadae utarudi na majuto..!
 
Ulidhani hapendi kukwea pipa na yeye kwanini usiongozane nae ukamwacha nyumbani wakati wenzako huko kwa museveni waliwasili na wenza wao? Alafu unamletea vi iPhone Mkuu unadharau sana bado ujatimiza Furaha yake na ukicheza wahuni lazima waibe PUK nakuanza kuchimba makinikia ya wife..........

Next time umtoe out Mzee
 
Kazi gani ulifanya huko UG ukapata hizo pesa?
Wakati mwingine mnawalaumu wake zenu kumbe wanaona mbali. Baadae utarudi na majuto..!
Haha nikweli Mkuu aweke bayana hizo dolari kapata wapi
 
Back
Top Bottom