Hapana.. Mambo shwari ,,konakona zimeishaNdo aina ya maisha mnayoishi kwa sasa??hongereni sana.Leo.sina zaidi ya kuwapongeza.
Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu usiteme Big G kwa karanga za kuonjeshwa. Penzi la siku moja lisije kuponza ukaharibu ndoa yako mkuu kuwa makini umepata mke mwelewa amesamehe kesho ata kugeuzia kibao atoke yeye uje hapa uanze omba ushauri tena baki njia kuu axha michepukoWife amefuma simu yangu na kukuta SMS nilizokua nachat na mchepuko tukipanga kwenda kula mzigo na ahadi nyingi za uongo na kweli maana ndo ilikua mara ya kwanza basi Wife amechukua namba ya uyo mtoto na kumtukana sana na kumtisha kwamba atamloga timbwili la Wife nimelimaliza japo haikuwa kazi ndogo sasa siwezi kubali kuacha uyu mtoto mzuri mweusi tatizo ni vile vitisho mtoto hataki kunielewa maana alikua hajui kama nina mke naomba ushauri nifanyeje nimpate tena
Post sent using JamiiForums mobile app
Hakuna mwanaume asiye na mchepuko
Post sent using JamiiForums mobile app
Mwambie huyo mchipuke kama hataki kuchipuka na wewe basi Na Wewe utamloga Mara mbiliWife amefuma simu yangu na kukuta SMS nilizokua nachat na mchepuko tukipanga kwenda kula mzigo na ahadi nyingi za uongo na kweli maana ndo ilikua mara ya kwanza basi Wife amechukua namba ya uyo mtoto na kumtukana sana na kumtisha kwamba atamloga timbwili la Wife nimelimaliza japo haikuwa kazi ndogo sasa siwezi kubali kuacha uyu mtoto mzuri mweusi tatizo ni vile vitisho mtoto hataki kunielewa maana alikua hajui kama nina mke naomba ushauri nifanyeje nimpate tena
Post sent using JamiiForums mobile app
Mwambie huyo mchipuke kama hataki kuchipuka na wewe basi Na Wewe utamloga Mara mbili
Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
Pole..sina ushauri kwenye zinaa..Wife amefuma simu yangu na kukuta SMS nilizokua nachat na mchepuko tukipanga kwenda kula mzigo na ahadi nyingi za uongo na kweli maana ndo ilikua mara ya kwanza basi Wife amechukua namba ya uyo mtoto na kumtukana sana na kumtisha kwamba atamloga timbwili la Wife nimelimaliza japo haikuwa kazi ndogo sasa siwezi kubali kuacha uyu mtoto mzuri mweusi tatizo ni vile vitisho mtoto hataki kunielewa maana alikua hajui kama nina mke naomba ushauri nifanyeje nimpate tena. Post sent using JamiiForums mobile app