Wife kanitibulia kwa mchepuko

Wife kanitibulia kwa mchepuko

Mtu ukiamua kuwa mzinzi basi inabidi ukubali na mavuno yake yote, kama vile kufumaniwa, ukimwi, kisonono, kaswende, ukurutu, Chlamydia nk. Pia kuna kufilisika ki-uchumi kunakotokana na kuhudumia mchepuko kwa nguvu zako zote. Kusahau kumhudumia mkeo kiasi cha kumfanya naye achepuke. Kusahau kuwahudumia watoto wako na hivyo kuwafanya wasiwe na maendeleo mazuri shuleni (wawe choka mbaya watarajiwa).
Nakushauri muangukiea mkeo, utubu na usiendelee tena na huu mchepuko. Hela utakazo ndunduliza (kawaida zingeenda kwa mchepuko), basi utaamua wewe na mkeo mzitumiaje. Kmua ni ile ile, tofatuti ni "minjonjo" tu.
 
Wife amefuma simu yangu na kukuta SMS nilizokua nachat na mchepuko tukipanga kwenda kula mzigo na ahadi nyingi za uongo na kweli maana ndo ilikua mara ya kwanza basi Wife amechukua namba ya uyo mtoto na kumtukana sana na kumtisha kwamba atamloga timbwili la Wife nimelimaliza japo haikuwa kazi ndogo sasa siwezi kubali kuacha uyu mtoto mzuri mweusi tatizo ni vile vitisho mtoto hataki kunielewa maana alikua hajui kama nina mke naomba ushauri nifanyeje nimpate tena

Post sent using JamiiForums mobile app

Ushauri wangu ni fanya kama ulivyofanya mwanzo mpaka ukamhadaa
 
Mnawapotezea watoto wa watu muda, acha hiyo kitu siyo vizuri mkuu.

KARMA is...
 
Wife amefuma simu yangu na kukuta SMS nilizokua nachat na mchepuko tukipanga kwenda kula mzigo na ahadi nyingi za uongo na kweli maana ndo ilikua mara ya kwanza basi Wife amechukua namba ya uyo mtoto na kumtukana sana na kumtisha kwamba atamloga timbwili la Wife nimelimaliza japo haikuwa kazi ndogo sasa siwezi kubali kuacha uyu mtoto mzuri mweusi tatizo ni vile vitisho mtoto hataki kunielewa maana alikua hajui kama nina mke naomba ushauri nifanyeje nimpate tena

Post sent using JamiiForums mobile app

Mwambie huyo mchepuko kuwa majibu ya form 6 yametoka!
 
Wife amefuma simu yangu na kukuta SMS nilizokua nachat na mchepuko tukipanga kwenda kula mzigo na ahadi nyingi za uongo na kweli maana ndo ilikua mara ya kwanza basi Wife amechukua namba ya uyo mtoto na kumtukana sana na kumtisha kwamba atamloga timbwili la Wife nimelimaliza japo haikuwa kazi ndogo sasa siwezi kubali kuacha uyu mtoto mzuri mweusi tatizo ni vile vitisho mtoto hataki kunielewa maana alikua hajui kama nina mke naomba ushauri nifanyeje nimpate tena

Post sent using JamiiForums mobile app
Kwani lazima kuchepuka
 
Aisee baki njia kuu otherwise yatakayokukuta usije kujutia
 
Hivi kwanza mnadakwaje?? tools zote za bure zilizo jaa kwenye net. Weka password walio tengeneza simu na kuweka pin hawakuwa wapumbavu ni baada ya tafiti za kina simu zinabeba vitu vingi sana siku hizi. ndio maana hata siri za serikali zinavija.

Pili acha kudanganya kama hujaoa. Tafuta mchepuko utakao elewa hali yako na kiwasilia kwa muda muafaka.

Mwisho best option ni kubaki njia kuu au kama wewe ni wa umati wa mtume ongeza jiko tu.
 
Haaa jamani hadi kuchepuka unataka ushauri

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mi mwenyewe juz nimedakwa kama wewe. Mimekoma maana sio kwa kujitetea kule.

Post sent using JamiiForums mobile app
Ndo aina ya maisha mnayoishi kwa sasa??hongereni sana.Leo.sina zaidi ya kuwapongeza.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
hivi hua mna oa ili iweje? kwnn hukumaliza nyege zako kabla hauja amua kuoa.... sijaoa bado ila I don't think nitakua jamii ya wapenda michepuko
 
Mkuu umeambiwa kwa mchepuko kuna viwanda

Senti furomu mai tekino wereva yuzingi jamii foramu mobaili apu
 
Mpende mkeo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Inasikitisha sana...

Mpaka unaamua kuchepuka kuna tatizo... Baki n mkeo, mpende mkeo...

Cc: mahondaw
 
itakuwa ngumu kukubali tena km kajua una mke ila nivizur ukarudisha mapenz kwa mkeo may be kakuepusha na maradh

Post sent using JamiiForums mobile app
Nyumbani kumeshazoelekaa sana hivyo watu wanataka onja radha nyingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom