BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
wasiwasi wa nini? au una vi 'ajenda'?
Afu wewee
Unatakiwa uende ukatese mateka kule gwantamo bay
Adhabu gani hiyo unamfanyia Paw?
Hivi wakati ule unafundisha UPE ulishawahi kuchapa mtoto akakaza makalio? Manake unaumia mwenyewe. Sirushiki roho mie, Paw akileta za kuleta anaisoma tu. Afu full vicheko, hehehe. Na akisema kwa dadake AshaDii, mie nacheka kicheko cha le mutuzi ha! Ha! Ha!
Humphnicky hopefully usharudi home,,.vipi kimenuka!!?? Au amaniii