Wife Anazingua


ndoa kazi....n'way alishastuka kuwa unaweza kupita,pengina anajua una kauzoefu hako

Sasa kumbe kama ni mama wa nyumbani huyo house girl ni wa nini wkt mimba yenyewe ni ya mwezi mmoja? mrudishe huyo house girl then usijihusishe tena katika mambo ya kutafuta atakapohitaji,yawezekana mimba inamuendesha so hajui anataka nini!

Nlimaanisha mimba ya kwanza sio ulivyoelewa wewe.

Binti ni mdogo haiwezi ikawa wivu
 
kaka nakushauri tu umrudishe mtoto wa watu!

la sivyo utamkuta kaunguzwa na maji ya moto bure!

yani ni bora ungelimchukia wewe kuliko mkeo!

wanawake si wanawake wale wa kale siku hizi... kitu kidogo tu unakuta mtu kateketezwa na maji ya moto kabisa!
 
Wakina mama saa nyingine ni kuwaombea tu, siwaonei ila wanapenda sana kufanya maamuzi kwa hisia kuliko hali halisi.
 
Mh!we unamng'ang'ania wa nn?akiondoka kazi c anafanya mkeo?kuna kitu mkeo atakua ame hisi kati yako na hg!hta mm nishahisi!hii kauli hii,kama anaenda na aende heheeeee!somethng is wrong somewhre!

Passion lady huyo mke wa jamaa ana matatizo yale binafsi, haiwezekani tumlete hg toka mbali hivyo then after 1 week arudi kwao, kwanini huyo mke asijiamini? Najua mnamtetea coz ni ke mwenzenu lakini ukweli anamihaibisha mme wake kienyeji, km ni mimi mke asepe asitake kunipanda kichwani, maana hata akija mwingine itakuwa hivyo daima, nina mifano halisi ya suala hilo.
 
Naona umeona yasiwe makubwa kijana. Maamuzi mazuri ulofikia nakusifu.
 

Mwanaume inatakiwa ukomae,ukishaonyesha unatetereka kwenye misimamo yako itakuletea matatizo,leo unasema hivi kesho unabadilika unasema hivi,inatakiwa uwe na msimamo!
 
Aisee.................. hivi mwanamke unaanzaje kumshutumu mumeo kuwa anataka kummega msichana wa kazi (au mwanamke mwingine yeyote) unaanza tu? Au ndo unakuwa umeshawahikumfumania ndo unajua ni tabia yake? Mie naona kama ni kumvunjia heshima mwenzi wako vile!! mwe au pengine mie mapenzi nayasoma kulia kushoto
 

lakini ujue mke ndio anashinda
na beki tatu muda wote,huenda kuna
mapungufu kayaona,ma hg wana mambo nyie hamjui tu
arudishwe thn mke atafute hg amtakae.coz hiyo ni kazi ya mama na si ya baba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…