Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,394
Shimo la panya halizibwi kwa mkate...mkiaminiwa hamuaminiki nyie wanaume!
mkiaminiwa hamuaminiki nyie wanaume!
Shimo la panya halizibwi kwa mkate...
Shimo la panya halizibwi kwa mkate...
Daaah, yan hapa najikaza sana aiseee...!!!acha tamaa za fisi!!
Baby twende tukalale.mwambie unataka kulala
Vitu vingine ni vigumu sn mkuumkiaminiwa hamuaminiki nyie wanaume!
Alafu huwa mnauliza wanawake kwanini hawaolewi!!! Waume wenyewe ndio hawa!!!
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]