Wife amewaka na mimi kuhusu Valentine!

Wife amewaka na mimi kuhusu Valentine!

Siku zote huwa unamjali jali na hivyo vitu anavyodai au ndio kanga zimepauka kama zilimwagiwa jiki na viatu fundi wa viatu kavichoka?

Nwy kama unaweza mpe tu maana baadhi ya wanawake utoto tu unawasumbua. Hapo anafikiria wenzake waki'brag yeye atabakije kuwasikiliza tu bila yeye kushiriki. Mpe nae akaringishie marafiki na wafanyakazi wenzake.

Hakuna cha utoto.wanawake wengi wanafikiri valentine ndo basi hakuna kupendwa tena kwa siku zinazofata mbeleni.
 
Mie kwangu ndio kuna balaa ,nlinunua shati ofisin kwa mkopo zuri sana leo si ndio nimekuja nalo nyumban hayo maswali mpaka nataman kumpigia alieniuzia anisaidie maana americall mwaka jana nlikuja home na set ya vipodozi ambavyo nlinunua kwa wajasiliamali wa ndani .
Hapa nilipo najiuliza inamaana mwanamke huweza kukaa na kisasi au maswali mwaka mzima bila kuuliza huku akiumia moyoni?
 
tatizo wa TZ kwa kukopi ndio wenyewe, halafu tukikopi tuna over do. Hata sijui haya mambo ya Velentino yaliingiaje bongo. enzi zetu hakukua na kitu hiki na 14 Feb ilikuwepo. mna kazi, sio siri.....
 
Hakuna cha utoto.wanawake wengi wanafikiri valentine ndo basi hakuna kupendwa tena kwa siku zinazofata mbeleni.

Sasa huo sio utoto ni nini? Mtu anaedanganyika na mapenzi ya siku moja tena kwa kung'ang'ania na gubu juu sio mature kihisia wala kitabia.
 
Kama ni kumpenda nampenda sana siku zote....hili la valentine sijui kalitoa wapi. Halafu nilikuwa sijui kama kesho ndo siku yenyewe kwani mambo ni mengi katika kuhakikisha mpango mzima wa kuitunza familia umekaa sawa.

MKUU mkeo hana kazi nini anashinda home.
kama nigorikipa mwambie kesho akashinde church au msikitini Sikh nzima kama msabato
 
Mimi kma nampenda m2 n kila cku c feb 14, ila hizi redio z wauza sura ndio zinachochea hya majanga, mara dina 4 couples 60000 mara wazee sugu wanatoa shoo.wenye ndoa z dotcom wataota vipara kwa stress z wke zao
 
Ndo maana ndoa zinakuwa ngumu, mkishaoa huduma zinakatwa
kweli samaki anapewa chambo akiwa anavuliwa tu
baada ya hapo ooh mambo mengi ooh maisha magumu
kama maisha magumu achana nayo fan ya mambo mengine....

kesho siku ya kazi. huo upuuzi wenu waachieni wazungu. wanawake ni viumbe vya ajabu sana"!!!
 
Wife amelianzisha jioni hii, anadai amenivumilia sana kila mwaka sichukulii serious siku ya valentine kumuweka mkao kumuweka mkao. Anataka kila 14th of february niwe namnunulia nguo, viatu na hereni atokee out ili ajione na yeye yuko katika wanawake wanaopendwa. ''Jamani kuna mambo mengi ya kufanya sio kukaa na kufikiria valentine day wakati kama ni kupendwa ni kila siku ijayo kwa Mungu.''ndivyo nilivyo mjibu. Basi amenunaa hadi sauti imefifia. Ndo nanyoosha miguu huku mtaani maana nimeona kuendelea kukaa hapo home kuna uwezekano wa kuzuka balaa zaidi.

Duh una kazi!mi nadhani mapenzi ya dhati sio on a valentine day tu...ni kila siku.mpende aone kila siku ni valentine kwake
 
Sasa huo sio utoto ni nini? Mtu anaedanganyika na mapenzi ya siku moja tena kwa kung'ang'ania na gubu juu sio mature kihisia wala kitabia.

Na ni ushamba tu,mi mwenyewe kuna mtu kaniuliza eti kesho unamnunulia hubby wako nini?kesho yenyewe nilikuwa sikumbuki kuna nini..nimemwambia"hubby wangu ana yupo kwenye mafungo na mkesha kwanza nikimpa hyo zawadi ataniona tapeli coz sijawahi mpa
 
Wife amelianzisha jioni hii, anadai amenivumilia sana kila mwaka sichukulii serious siku ya valentine kumuweka mkao kumuweka mkao. Anataka kila 14th of february niwe namnunulia nguo, viatu na hereni atokee out ili ajione na yeye yuko katika wanawake wanaopendwa. ''Jamani kuna mambo mengi ya kufanya sio kukaa na kufikiria valentine day wakati kama ni kupendwa ni kila siku ijayo kwa Mungu.''ndivyo nilivyo mjibu. Basi amenunaa hadi sauti imefifia. Ndo nanyoosha miguu huku mtaani maana nimeona kuendelea kukaa hapo home kuna uwezekano wa kuzuka balaa zaidi.
mwambie atulie vinginevyo hapa patamhusu

cavern_of_flames.jpg

lakeoffire_2.jpg

lakeoffire.jpg

jehanamu ya moto kwa wazinzi
 
Huyo ni wife au girlfriend? I dont understand It🙂
 
Wanawake nao wakati mwingine wanatia uvivu;
si anunue akununulie na wewe kama
ndo mapenzi yake;
 
kesho siku ya kazi. huo upuuzi wenu waachieni wazungu. wanawake ni viumbe vya ajabu sana"!!!

Wakati unaoa hukujua kama wewe ni mfanyakazi?
huu upuuzi wenu wa kutojali ndo unafanya wake zenu kutafunwa kama big g
kumnunulia mke hicho alichotaka kunaingiliaje hiyo kazi yako
kazi kazi mchwa mwenyewe ana kazi tena ngumu kuliko hiyo yako
 
Mwambie Valentine si sheria aache utoto kama haupo romantic siku zote how can u magically turn into a Romeo character siku moja kwa mwaka
Mpende how u know best kama unavyompenda kila siku

it seems jamaa hamkumbukagi mkewe japo hata kumtoa out siku moja moja au japo kumnunulia hata kijizawadi hata hizo siku zingine za mwaka. mwanamke katumia siku hii pendwa nae akumbukwe kwenye ufalme wa mumewe. mtazamo wangu
 
Haijalishi lakini, siku moja haiwezi mbadilisha mtu alitakiwa kueleza hisia zake kila siku pia mbinu zingetumika kumbadilisha bwana awe ana care for eternity........lol
 
Back
Top Bottom