leonard_willy
New Member
- Feb 13, 2014
- 2
- 0
Pole xana ila jitahi coz anastahil kupata hyo huduma mara 1 kwa mwaka c mbaya
Ndo maana ndoa zinakuwa ngumu, mkishaoa huduma zinakatwa
kweli samaki anapewa chambo akiwa anavuliwa tu
baada ya hapo ooh mambo mengi ooh maisha magumu
kama maisha magumu achana nayo fan ya mambo mengine....
My dear Evelyn Salt maisha sio kile unachoona watu wanafanya ndio uige na kuifanya part of your life. Simaanishi watu wasihudumie wapendwa wao, Lakujiuliza ni je uko kwenye position ya kutekeleza yale mahitaji kwa muda anaotaka! a real wife sent from the heaven will understand the situations instead of starting to boil like mafuta ya kukaangia samaki,,
Haijalishi lakini, siku moja haiwezi mbadilisha mtu alitakiwa kueleza hisia zake kila siku pia mbinu zingetumika kumbadilisha bwana awe ana care for eternity........lol
kwan kwa mfano ukimfanyia mkeo anachotaka kwa kwa hyo ck unahc utapungukiwa nn! zaid utaongeza upendo na kumfanya akuone unamjali zaidi! sa ngoja apate wa nje japo wa kumnunulia lolpop nyekundu! na akitiwe maneno matam ya uongo kidogo! ndo utajua maan halisi ya kumpenda na kumjal mkeo jap kwa kidogo!! cz wengi wenu mkioa mnajisahau mkiona tyr mshamaliza! kumbe ndo mnachemka!
acha wa sanduku la posta tuendelee kuitwa washamba..
Kwani mara ya mwisho kumtoa mkeo out ilikua lini???
hili nalo neno, sawa sawa na mtoto ushazoea kumnunulia nguo sikukuu hadi sikukuu, ngoja sikukuu ifike hujanunua nguo. mambo mengine jizoesheni kufanya jamani yaonekane ya kawaida.