Wife amebadilika ghafla naumia

Wife amebadilika ghafla naumia

Boli linatembea

Senior Member
Joined
Dec 21, 2022
Posts
115
Reaction score
333
Salaam,

Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu.

Mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?

Sitaki hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumizi, wanakaa nyumba nzuri peke yao, wazazi wapo mkoa mwengine.

Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hivi wife hapokei simu.

Ushauri please!!
 
Unatuma 1.4MILION??? Alafuu unaletewa jeuriii sasa wew hapo huoni tatizo?? usimtumie mwambie sababu ni yeye kubadilika na kuleta jeuri uone atasemaje akisema sawa jua ashajiwekeza kiuchumi mahali sasa anajiweza so hiyo jeuri sio ya bahati mbaya ila KUHUSUU KUCHAPIWA NI UHAKIKA 100% unafanya test kujua kama kifedha yuko vipi bila wew piga hat miezi 6 kavu.
 
wanawake kama huyo wako ndiyo wanasababisha vijana wasione umuhimu wa kuoa, kuwa mwanaume hiyo subsistence allowance unayomtumia ni mshahara wa principle officer kwenye hizi halmashauri zetu na kinachompa jeuri, anza kumpa mshahara wa kima cha chini sector binafsi akili itamrudia.
 
Sawa nifanyaje?watoto bado wadogo wataenda wapi?ukweli naumia hajui ugumu wa kutafuta pesa nataman aungie mtaani aone kama hata laki ataipata, nawaza hao watoto mimi nililelewa na bibi sitaman watoto wapitie hayo. Au nawaza nimpeleke dar wakakae nyumbani kwetu kuna nyumba ya uwani chumba kimoja , jiko na choo.
 
Naunga mkono hii hoja, nina uhakika nayo kabisa
 
wanawake kama huyo wako ndiyo wanasababisha vijana wasione umuhimu wa kuoa, kuwa mwanaume hiyo subsistence allowance unayomtumia ni mshahara wa principle officer kwenye hizi halmashauri zetu na kinachompa jeuri, anza kumpa mshahara wa kima cha chini sector binafsi akili itamrudia.
Nyie wakuu mnataka jamaa hasihudumie familia yake,. Kumbuka ana watoto wawili.
 
Salaam, niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu , mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?sitak hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumiz , wanakaa nyumba nzur peke yao, wazazi wako mkoa mwengine. Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hiv wife hapokei simu.
Ushaur please!!
Kukaa mbali na mkewo kwa muda mrefu ni tatizo, na hajui utarudi nini? Hamu yake aitoe nani?
 
wanawake kama huyo wako ndiyo wanasababisha vijana wasione umuhimu wa kuoa, kuwa mwanaume hiyo subsistence allowance unayomtumia ni mshahara wa principle officer kwenye hizi halmashauri zetu na kinachompa jeuri, anza kumpa mshahara wa kima cha chini sector binafsi akili itamrudia.
Akikosa pesa si ndo atato***mbeka kisawa sawa?
 
Sawa nifanyaje?watoto bado wadogo wataenda wapi?ukweli naumia hajui ugumu wa kutafuta pesa nataman aungie mtaani aone kama hata laki ataipata, nawaza hao watoto mimi nililelewa na bibi sitaman watoto wapitie hayo. Au nawaza nimpeleke dar wakakae nyumbani kwetu kuna nyumba ya uwani chumba kimoja , jiko na choo.
Familia zenye migogoro hazina hata umuhimu kabisa kwa mtoto,ni ujinga tupu hata awe mkubwa ni yale yale ,kuna kipindi anapitia changamoto...Mambo ya familia hasa watoto siyataki kwa sababu nayaelewa maisha ya kijinga niliyopitia .. Wazazi ni wabinafsi sana ,nawachukia sana watu wabinafsi ...Nimeshangaa kuona watu bado wanasherekea hayo mambo ya Mother's day ni ujinga kabisa.
 
Salaam, niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige simu , mbaya zaidi weekend hii imepita hatujaongea hajali, tatizo kubwa lilianza pale alipotembelewa na dada aliyenitambulisha ni mamdogo mimi ndugu zake wote siwajui, nifanyeje?sitak hii familia isambaratike tuna watoto wawili na kila mwez natuma 1.4 matumiz , wanakaa nyumba nzur peke yao, wazazi wako mkoa mwengine. Huyu mamdogo nimefukuza kesho anasepa, hata hapa sa hiv wife hapokei simu.
Ushaur please!!
Long distance kwa wadada wa kibongo ni tatizo. Familia nyingi zimesambaeatika sababu ya hiyo kitu

Anajua unatafuta riziki lakin sasa jitahid sana Mungu akupe subira na yeye pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom