Why woman want tall men

Mi mwanaume mfupi Aisee hata kuongea nae napata tabu sana .hata sina sababu za msingi..
 
Kwi kwi kwi kwi kwi!!!dah JF rahaa sana, nimecheka sana hapa.
 
Hiyo ni faraja kwako kama ni pimbi.

Mkuu vipi mbona ume panic umekosea ku quote nini?hivi uoni kua inafurahisha na kushangaza binti anapoomba mahusiano uku akitanguliza ombi la picha ya dushe????Upimbi niutolee wapi aiseee.
 
naaleji na hiyo lugha ........ ngoja nipite zangu hiv---->
 
Mkuu vipi mbona ume panic umekosea ku quote nini?hivi uoni kua inafurahisha na kushangaza binti anapoomba mahusiano uku akitanguliza ombi la picha ya dushe????Upimbi niutolee wapi aiseee.

Huyu mtu kuna katatizo anako, hata hapo mwanzo aliniquote hivyo hivyo na coment ya aina hiyohiyo nikaishia tu kumjibu "no wonder"
 
Huyu mtu kuna katatizo anako, hata hapo mwanzo aliniquote hivyo hivyo na coment ya aina hiyohiyo nikaishia tu kumjibu "no wonder"

Duh Basi kuna kazi hapo!!ila may be anajifunza ku quote aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…