Baba mtata
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 280
- 40
Hahahaaaa! I dont want you to see me so cheap! Plus nikikutokea nitakuchunaje?

Nikuoneshe uringe.....
Hahahaaaa! I dont want you to see me so cheap! Plus nikikutokea nitakuchunaje?
Hahahaaaa! I dont want you to see me so cheap! Plus nikikutokea nitakuchunaje?
penda chuna weye...au waonea vifaranga...wanaume wa kweli watakugegeda wewe...kidume ukimchuna naye anakuchuna mapajani lol
Habari wakuu!
Naomba kujua hasa wanawake wanisaidie katika hili kwanini inakua ngumu kuonyesha hisia zako kwa mtu unayempenda?mfano unakuta dada ametokea kumpenda mwanaume lakini ataishia kumwangalia tu kila akimuona anamwangalia tu je ujumbe utamfikia mlengwa?japo tamaduni zetu haziruhusu mwanamke kutongoza je hakuna njia mbadala za kumuonyesha hisia zako yule umpendaye?
Nawasilisha
.......hapana, tatizo ni lako weye mwanaume KUSHINDWA kumsoma mwanamke hisia anazokuonyesha.
😎
Hahahaaaa! I dont want you to see me so cheap! Plus nikikutokea nitakuchunaje?
Habari wakuu!
Naomba kujua hasa wanawake wanisaidie katika hili kwanini inakua ngumu kuonyesha hisia zako kwa mtu unayempenda?mfano unakuta dada ametokea kumpenda mwanaume lakini ataishia kumwangalia tu kila akimuona anamwangalia tu je ujumbe utamfikia mlengwa?japo tamaduni zetu haziruhusu mwanamke kutongoza je hakuna njia mbadala za kumuonyesha hisia zako yule umpendaye?
Nawasilisha
penda chuna weye...au waonea vifaranga...wanaume wa kweli watakugegeda wewe...kidume ukimchuna naye anakuchuna mapajani lol
wanawake huwa wanaonesha hisia mkuu, na ni wanaume wachache sana mimi watu8 ndio tunajua.
kuna vijimambo flani vidogo vidogo huwa wanaonesha, the rest huwa wanatuachia to kill the game...