Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,740
Kila mara ninapoenda nchi jirani hapa kenya huwa napenda kufurahia vikundi vya vichekesho hasa pale carnival, napenda kwenda kuangalia churchll show, actually huwa na enjoy sana, big question kwangu hivi Tanzania hatuna watu talented wa kuweza kufanya mambo kama yale kutuondolea stress kwa kufanya comedy ya namna ile, au ipo sehemu hapa dar wanafanya me sijui?tulijadili hili, hii inaweza kuwa business idea ya kumweka mtu mjini.