Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,564
- 215,041
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi zilizoendelea zinajitahidi kuwapatia wananchi wake the best ARV's zilizoko sokoni, dawa hizi zinawagharimu pesa nyingi sana, kama kweli kungekuwa na dawa wangefurahi kupeleka pesa hiyo sehemu nyingine zinakohitajika zaidi, kama kuboresha matibabu ya cancer na vitu vingine.Kuna sehemu nilisoma wanasema dawa ya kuponya HIV ipo na chanjo ya kuzui kupata huo ugonjwa ipo. Lakini hawataki kuwapa watu sababu watapoteza fedha nyingi mno watu wakianza kupona kabisa.
Ndio maana wanatoa dawa za kuishi muda mrefu na Si za kukuponesha kabisa.
Sina uhakika na hili.
Wasiwasi wangu ni zinaa kuongezeka baada ya mafanikio haya.
nadhani watu wanao fund HIV treatment ni tofauti na watu wanao fund cancer research/treatment.Nchi zilizoendelea zinajitahidi kuwapatia wananchi wake the best ARV's zilizoko sokoni, dawa hizi zinawagharimu pesa nyingi sana, kama kweli kungekuwa na dawa wangefurahi kupeleka pesa hiyo sehemu nyingine zinakohitajika zaidi, kama kuboresha matibabu ya cancer na vitu vingine.
Wasiwasi wangu ni zinaa kuongezeka baada ya mafanikio haya.
Katika nchi zilizoendelea watu walioathirika sana na HIV/AIDS ni gay society, na hawa watu wanajua kulobby ikifika kwenye mustakabali wa haki zao, fikiria walivyolobby mpaka ndoa za jinsia moja zimepitishwa, waje wasikie kuna pharmaceutical company ina hold cure, wataandamana. Sijasikia habari za chanjo za HPV ingawa ninakumbuka ilivyoanza in one promotion zake. Ninafahamu chanjo ya HPV inatolewa shule kwa mabinti wote wa miaka 13 na wanarudia tena wakiwa 16 lakini mzazi lazima akubali, kwa miaka 16 binti ana uwezo wa kusign consent mwenyewe bila ridhaa ya mzazi.Madam Sky Eclat, even now zinaa zinafanyika mnoo duniani kote despite the presence of HIV/AIDS.
Zinaa ilikuwepo tangu enzi, ipo kwa sasa, na itaendelea kuwepo!
What I myself doubt ni kwamba baada ya kupata Cure, wasije wakatengeneza Viral epidemic nyingine more deadly than HIV/AIDS!
Hawa wazungu wana mambo mengi sana hawa. The big pharma makes a huge billions earning out of these chronic diseases. They hate to hear about the so called 'cure' or 'vaccines'.
By the way, na hizo vaccines nazo ni majanga tu. I hope umeshasikia jinsi ile approved HPV vaccination (chanjo ya warts) inavyoathiri afya za watu waliopata hiyo chanjo, especially huko developed world. Wanasema such vaccine is NOT safe!
Homa ya dunia.
-Kaveli-
Duh wapi huko ndugukati ya nyumba 13 zinazonizunguka nane zina mgonjwa mmoja au zaidi aliyethibitika, hali ni mbaya kuliko matamko ya serikali.
bora chanjo na kinga ipatikane, vinginevyo tungeshuhudia kuporomoka kwa jamii ndani ya miaka thelasini ijayo.
Aaa wewe AIDS ilifagia early 90's, ninakumbuka jeshini, polisi, walimu, uraiani, wewe acha, ARV zinastiri sana.kati ya nyumba 13 zinazonizunguka nane zina mgonjwa mmoja au zaidi aliyethibitika, hali ni mbaya kuliko matamko ya serikali.
bora chanjo na kinga ipatikane, vinginevyo tungeshuhudia kuporomoka kwa jamii ndani ya miaka thelasini ijayo.
....Ilipungua kusema kweli lakini nadhani imerudi kabla ya ugonjwa huu kuingia na katika baadhi ya nchi hata zaidi kabla ya ugonjwa. Ugonjwa umekaa kwenye utamu na utamu wengi hawataki kuachana nao.
Katika nchi zilizoendelea watu walioathirika sana na HIV/AIDS ni gay society, na hawa watu wanajua kulobby ikifika kwenye mustakabali wa haki zao, fikiria walivyolobby mpaka ndoa za jinsia moja zimepitishwa, waje wasikie kuna pharmaceutical company ina hold cure, wataandamana. Sijasikia habari za chanjo za HPV ingawa ninakumbuka ilivyoanza in one promotion zake. Ninafahamu chanjo ya HPV inatolewa shule kwa mabinti wote wa miaka 13 na wanarudia tena wakiwa 16 lakini mzazi lazima akubali, kwa miaka 16 binti ana uwezo wa kusign consent mwenyewe bila ridhaa ya mzazi.
Starehe ya watu wazima kwa raha zao.Wasiwasi wangu ni zinaa kuongezeka baada ya mafanikio haya.
ugojwa umekaa pabaya sanaMkuu BAK, that's correct. Tena uwepo wa hizi ARVs ambazo mwathirika anazima ghafula tu na unene wake without healthy deterioration, ndo kabisaaa watu wanaonekana kutoogopa HIV/AIDS. The disease being 'controllable' imewafanya watu kutokuwa na ule 'uoga' kama miaka ya zamani before introduction of ARVs.
So watu wanaendelea kula utamu kama kawa.
"Pale kati patamu" is the universal anthem.
-Kaveli-
ugojwa umekaa pabaya sana