Why some women can’t keep their legs together!?

Why some women can’t keep their legs together!?

Kuna Jamaa anasema, among the major contributors to the so called pleasure of sex is the fact that sex is 'sin' (the wrong' thing) . When the sin element of sex is removed it becomes another biological exercise like eating. In marriage the sin factor is contributed by trying to hide it from children and house keepers.

But after sometime that fails to provide the adrenaline rush to spark the excitement in sex; that is when people start to cheat.
Do you think so Amy?

Before i tell you what i think.. Tell me something, Do you personally view sex as a "sin"?
 
Before i tell you what i think.. Tell me something, Do you personally view sex as a "sin"?

Katika imani za Kidini NDIYO, hasa kama inafanywa na watu ambao hawajahalalishiwa (kuoana), but Mimi sijajifunga sana na minyororo ya kidini, hivyo nashindwa kuiona inakuwa vipi sin hasa kama inafanywa kwa uaminifu na watu wawili wa jinsia tofauti na waliokubaliana

Lakin nakubali pia, kuna kitu ambacho kinachangia the so called pleasure of sex (but i wouldn't call it a sin)
. Na kikipotea hicho, ndio mushkel unapoanza
 
Sa wakibana miguu c watashidwa kutembea. Acha watanue wapate hewa! My friend al of them thr born 2 separate thr legs. Wameumbwa kutanua ndungu yangu wakibana tutaumia rafiki!
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza,kuna kitu rafiki yako hawezi au hatimizi n that is what makes her spread her legs probably she waited for a miracle to change ur friend but it neva occured so she found another way,mi hata nikimkuta mpenzi wangu anacheat simuachi mpaka anielezee kwa nini na nina hitilafu gani ili nijirekebishe au aendelee na mwenzangu,sa huyo rafiki yako atakuwa na mwingne nae atacheat ataacha wangapi?yeye atafute sababu asipopewa amuache akiambiwa shetani 2 amuache,
 
Mkuu nahisi jamaa alitimiza mahitaji yote kasoro hitaji moja tu la msingi.
 
Back
Top Bottom