nmependa hapo kuwa ni "vigezo vya kuanzia"naona vitasaidia kujenga basis ya kumheshimu mume tangu mwanzo,mbele ya safari huwezi ikana kazi au kuiacha ndoa,mwsho wa siku hitaji la kila mtu kutoka moyoni ni kupendwa na kuthaminiwa
kuwa mwanamke dunia ya leo ni kazi, ila kuwa mwanamme ni kazi zaidi.
Sasa inabidi wanawake tuogope vyeo vikubwa zaidi maana waowaji wa kutuzidi ni wachache.
indeed...hehe power struggle in the relationship,mwanamke ukiwa na hela ni kuwa careful with how you handle ur man na ye mwenyewe awe mwelewa,mana money comes along with power,
nyumba kubwa hivi ndivyo inayotakiwa iwe, lakini kwa Tanzania ya leo ambapo baadhi huona kwamba mwanamke hawezi kupandishwa cheo bila kuvuliwa chupi hili ni tatizo jingine. "Yule mke wa fulani katembea na kingunge fulani ndiyo maana kapandishwa cheo", labda kutokana na mawazo kama haya ndio maana baadhi ya wanaume wanauchuna tu kwenye achievements za wake zao.
what is power?
kwnye hii context ni ability to do things on your own,kiasi kwamba mwanamke ukiwa nazo hutaona thamani ya mwanaume kwenye maisha yako mana u can do it all au most things on your own,mfano renting a place or building one,buying cars,having a business nk..of which naona mtu usipokuwa makini utaona mwanaume hakusaidii kitu and u will end up on ur own ,mana sidhani kama kuna mwanaume anapenda kuwa mistreated just bcz umemzidi uwezo

Kwa mwanamke makini anayejitambua kamwe hawezi kuona mafaniko yake hapa duniani yanahalalisha yeye kutoona umuhimu wa kuwa na mwanaume, lakini wapo baadhi ambao wakishafanikiwa kiasi kikubwa huona hivyo. Ndio maana baadhi ya hao waliofanikiwa kimaisha sasa wengi wanalalama kwa kukosa wanaume katika maisha yao.
ndo mana kwny hyo clip kaelezea vzur sana,mtu usipojielewa u will have it all but end up lonely..tunafundishwa kujitahidi kazini na shuleni just to manage life on our own,but nobody teaches us how to deal with a man in that area,men always need to be respected sasa pesa na kisomo ikikulewesha ukashindwa kujishusha kwa mumeo tatizo lazma lijitokeze..Kwa mwanamke makini anayejitambua kamwe hawezi kuona mafaniko yake hapa duniani yanahalalisha yeye kutoona umuhimu wa kuwa na mwanaume, lakini wapo baadhi ambao wakishafanikiwa kiasi kikubwa huona hivyo. Ndio maana baadhi ya hao waliofanikiwa kimaisha sasa wengi wanalalama kwa kukosa wanaume katika maisha yao.
Tuko kwenye mazingira tofauti hivyo ni ngumu ku draw conclusion toka US...
Ila nachoona hapo ukishakuwa corporate girl unapunguza chance ya kuolewa hasa kama hukubahatika kuwa na serious relationship kabla ...
Nakumbuka kuna mtu alinambia smart ladies ni wale ambao ni multitask...si wanaofanya one thing at a time...
Zile za nimalize shule, afu nitafute kazi ndio nianze kufikiria ndoa ni risk...
Wakati huko chuo unatakiwa uanze kupepesa macho kuangalia nani anafaa kuwa husband na kuepuka kuchukuliwa na wachafua CV...hii haikufanyi upate lower class if you are smart...
Ukifika makazini unakuta wanaume karibu wote wameoa au wanawachumba...unaanza kudata...

heheheheh ile michezo mtu unashauriwa soma kwanza Mapenzi badae,
Tatizo ni tunavyovitaka maishani. Ukihitaji ndoa iwe sehemu yako ya maisha, elimu, pesa, vyeo vitakuwa vinaboresha hali yako ya maisha. Ukiitaka ikusaidie kukwamua kimaisha hapo ndo tatizo linapoanzia, ukipata mbadala wa kusaidia hali yako kasheshe.
Mi niko kwenye mahusiano ambayo watu walituambia hatutafika mbali kwa sababu ya tofauti zetu za kielimu, imani na kimuonekano. Leo wanashangaa bado tuko pamoja na hatujabadilisha mitazamo yetu. Mchango wake kwenye mafanikio yangu ni mkubwa kuliko wengine wadhaniavyo.
thanks BAK i have learnt something it's so interesting.
Hilo muhimu sana katika dunia ya leo asikudanganye mtu. Nadhani unakumbuka ile methali, "Elimu ni ufunguo wa maisha"