Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,925
Umeona eee!Hilo nalo neno.
Sio kila tabasamu linaamanisha furaha!
Umeona eee!Hilo nalo neno.
Hata kwa wale wenye sura kama Nyani, smile inafunika kabisa ile sura mbaya :A S-devil4:
Mi nilidhani unamzungumzia huyu smile wa humu... Nitarudi baadaye....
Hata kwa wale wenye sura kama Nyani, smile inafunika kabisa ile sura mbaya :A S-devil4:
I totally agree with you, I dont like when people give me a plastic smileKokutona I love your post.... Take note; it should not be a "Plastic smile for it to be effective"
Sitabasamu wala nini. . .mimi full kununa.
Smile yafaa sana hasa kwa upande wakina dada. Ila unaweza ukakutana na
mwanadada/mwanamama sijajua ni frustration za maisha au ndo mateso kutoka kwa wenzi wao
yaani sura ukiiona unatamani umpishe tuu! Smile inapendezesha uso jamani!
Hata kwa wale wenye sura kama Nyani, smile inafunika kabisa ile sura mbaya :A S-devil4:
Ukikutana na mimi utasabatamu tuu...
Jamani LIZZY.You mean you never smile?
Smile bwana, leo tu.
Khaaa Lizzy!!! Unadanganya bana lol... Kuna mtu hajawahi/ hawezi kutabasam jamani?Hata nikijaribu siwezi. . . sijawahi kabisa.
Khaaa Lizzy!!! Unadanganya bana lol... Kuna mtu hajawahi/ hawezi kutabasam jamani?