uniquelady
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 420
- 177
Natumaini ni wàzima wa afya ndugu zangu. Hili swali huwa najiuliza sana sijui wenzangu mlio kwenye ndoa na ambao hamjaolewa mmejiuliza pia???
Baada ya kujiuliza utaweza kutafakari kwa usahihi kwamba uko tayari? Au unaoa/kuolewa kwa sababu rafiki zako wote wameoa/kuolewa.
Unaoa/kuolewa kwa sababu it's the right time na umempata MTU ambae u can't live without?
Mawazo yako ni muhimu katika hili
Nawasilisha...