Habari fellows! binafsi napenda kujua na ninashauku kubwa kwanini budget ya nchi yetu uandaliwa na non-economists nkimaandisha mawaziri ambao wengi wao hawajasoma uchumi indeep nakusabisha "deficit budget" kutokea bajeti ambayo matumizi ni makubwa kuliko bajet kitu ambacho kinasababsha nchi ikope.Why tusiwatumie watu kama lipumba na cabinet yake?Wakat utumika na nchi nying kama england?