Why most women are still single?


utandawazi(globalization).Hakuna kingine zaidi ya hicho bro.
 
Safety last umemaliza!Women hawawezi koswa SABABU ya kukuletea watoto 3 wasio wako ndan ya ndoa in whatever way ure!
 
Last edited by a moderator:
maisha aliyoishi babu yako/wazazi wako yakatae fanya changes, kama mama au baba yako aliishia form four wewe jitahidi angalu upate hata degree moja, kama wazazi walikuwa maskini usikubali na wewe kufa maskini ili watoto wako waje wawe zaidi yako, tunarithi au kuiga tabia haturithi wala hatuigi umasikini na ujinga wa wazazi wetu.
 
Yatasemwa mengi hapa lakini.....
 
Hivi mwanamke akiwa single, si ina maana kuna mwanaume pia somewhere ambaye yupo single!!!

law of conservation of attraction states that, "in an area A; for every single woman there exists a single man".
assumptions; equal no. of men&women, no polygamy/polyandry etc
 
Wanataka waingie peponi kabla hawajafa,akipata jamaa anataka awe nna gari.nyumba nzuri n.k.hawataki muanze mwanzo anataka usakeeee life aje faidi maisha tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…