WHY MOST SHORT MEN WANAKUWA SUCCESSFUL? kuna siri gani?

teheee......teheeee.......teheee.... kama kweli vile mimi pia ni mfupi lakin sifa sipendi ila na si tajiri japo najishughulisha na miradi ya kuwasaidia maskini kuongeza kipato nikiwa nimejiajiri
lakini hili la guest linafanana japo mimi huwa nafikiria kuwa na hotel na kumbu za mikutano zikiwa na zoo japo ukweli unabaki ni mlemle mke wangu mrefu na napenda avae kiatu kirefu japo huwa nafarijika nikiona watu wana mtamani halafu mimi mfupi ndo namiliki huo mzigo wa kisukuma!
 
hahahahahahah haya bana ubungoubungo naona umerudi kutudadavua viumbe wafupi.....Imekaa njema hii.
 
Hahahaaa.... Mi wangu mbona tukisimama ananifikia kiunoni lakini waaaaala, hana hayo ma inferiority unayoyaongelea... Aaah... Hiyo ni tabia ya mtu tuu, hata warefu wapo wenye hizo tabia ulizo zitaja..!
 
Back
Top Bottom