WHY MOST SHORT MEN WANAKUWA SUCCESSFUL? kuna siri gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WHY MOST SHORT MEN WANAKUWA SUCCESSFUL? kuna siri gani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ubungoubungo, Sep 2, 2012.

 1. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nilishawahi kusoma thread moja hapa ilikuwa inaongelea kwanini watu wafupi wakali sana...mmoja akasema pia huwa wanakuwa successful walio wengi.....sasa hapa niko mwanza, nilienda kahama, nikaenda morogoro na bukoba before niko hapa leo,..hapa mwanza nina kama mwezi mzima, ninaishi kwenye lodges na hotel za bei nafuu....hotel ya kwanza ilikuwa kahama, ni ya mtu mfupi...ni daktari wa wilaya ya kahama pale, ana famasi yake fulani kubwa na ana loji inaitwa mamba safari. ni mfupi, yuko very serious hacheni ovyo na anaonekana mkalii hasa akiona pembeni kuwa warefu kama mimi.

  wa pili alikuwa shinyanga, mfupi na ni mmiliki wa lodge niliyokaa. the same....mwingine kahama alikuwa pale rocky point nilikaa siku tano, mfupi, mkaliii, looks like he's not friendly.

  nimeenda bukoba, the same mfupi ndo nilikuja jua ni mmiliki wa lodge. akitokea tu, naona wafanyakazi hata wale wanawake waliokuwa wanajilegeza naona mazingira yamebadilika hadi aondoke. nikaja morogoro the same, iringa the same.

  siku moja hapa mwanza nikiwa nimekaa kama wiki tatu kwenye lodge ya mtu mfupi, nikaamua nijaribu kumwongelesha pengine nimzoee, nikamwendea na kupiga naye story kidogo, mwanzoni alikuwa haonyeshi kukaribisha story mimi nikaamua kujifanya namfagilia, nikamsifia jinsi alivyojenga lodge vizuri, nikamwambia una hela sana wewe,...unatakiwa unipe motisha walau ya siku hata tatu manake nimekaa wiki tatu zote lodge yako....mimi ni mteja mzuri....alikubali akanipa tatu nikae bure, nilivyomwona, si kwasababu nilikuwa mteja mzuri, bali ni kwasababu nilimpa masifa, nikajifanya yeye ni mrefu kwangu hata kama mimi ni tall wa ajabu na nimeshiba, akaona kumbe mtu mrefu hajanidharau?..nikagundua kuwa kweli wana inferiority fulani kwa watu warefu ila mtu mrefu ukienda kwake kwa kumheshimu bila kumshusha kwa sababu ya ufupi wake, hata biashara unaweza kufanya naye, lakini ukimdharau au akaona unamfanyia kitu fulani kwa kuonyesha yeye ni mfupi...basi hata dili ya pesa anaweza asishirikiane nawe, jinsi walivyo na kiburi...na ukitaka uone ni mbaya, akipita na mwanamke wake jaribu kumwangalia sana yule mwanamke kuliko yeye au msalimie yule mwanamke...lazima kitanuka tu kwasababu anaona kama mtu mrefu anataka kunyang'anya mwanamke wake...ilishawai kunikuta dada mmoja nilisoma naye nikamsalimia kwa kuchangamke bila kujua amekaa na mtu wake mfupi....kesho yake alinipigia simu akasema kimenuka walipofika home hadi wamepigana ngumi na jamaa bado haamini kama mimi si mwizi....JAMANI WATU WAFUPI WA KUISHI NAO KWA MAKINI NA KWA KUWASAIDIA TU...
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mnhhhhhhhhhhhh
   
 3. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Ubungoubungo kujifagilia at work hahahaa mwaya.....ni kweli watu warefu wengi wanawatani utani "wa ukweli" wafupi ndo mana wana hasira
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  watani wa jadi...hahaha, usiombe muwe ofisi moja na ni bosi wako, ikatokea kuna demu wapya wamekuja ofisini na yeye aliwapenda akaona wewe mrefu kama una mazingira ya kuwatamani....hahaha, hata safari ya padiemu hupati.
   
 5. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  kweli bwana boss wangu kidume mfupiiiii basi yani dah!!hahaaa kuna ukweli lakini mana warefu wote anawabania safari na warembo
   
 6. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kuna statistics, hata za kienyeji? Au ulijaribu kuhesabu warefu wanao behave hivo hivo? au ndio imesha kua label?
   
 7. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Research yako kwanini imezama sana kwenye guest house?
   
 8. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  angalia hata kwenye vitu vingine, mfano maduka anza hata hapo kwa mangi wa mtaani kwako, nenda hadi maduka makubwa kariakoo, nenda makazini uone mtu mfupi kwanza alivyo na superior inferiority kwa warefu, kwa mademu etc...utapata jibu....lakini samahani kama wewe ni mfupi na nimekutachi...jua huu ni utani wa watani wa jadi.
   
 9. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Ubungoubungo...mwana umenichekesha sana ulivyokuwa unatiririka na kuwabomoa watani wetu!hahahha!dah!ila mbegu fupi nyingi zinakuwa full utata hawajiamini flani!utawasikia wanasema unaringia urefu wako kama mkimzingua!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  watani wa jadi noma..umba usiingie nao bifu, hahaha dawa yao mi nikiona wamekaa na mademu zao, najipitisha mbele yao, basi madem wao wote mimacho kwangu...hahaha...hapo ndo wanachukia kinoma.
   
 11. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kwa thread yako. ungesema kwa nini watu wafupi ndio wanamiliki Guest House nyingi?
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Hata sijui nisemeje
  urefu wangu ni 5.7
  wengine huniita mfupi
  na kuwa na lodge ni kitu ambacho kiko kwenye plan
  dah....i feel insulted here
   
 13. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  kwa hyo misifa uliyojimwagia unaonekana kwenu ni kulee walikokufa sana na ukimwi miaka ya 80..
   
 14. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kwa kimo hicho wewe ni mfupi...hivyo kuwa na wazo la kumiliki lodge ni sahihi uwe sawa na hao wenzio niliowasema mtani...
   
 15. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,627
  Likes Received: 2,046
  Trophy Points: 280
  Vipi kwenye kutembea huja-observe kitu?
   
 16. a

  altaaf Senior Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 15, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mkuu siri yote unaijua na umeshamaliza .
   
 17. T

  Tata JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Mtu mrefu anaanzia kipimo gani?
   
 18. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  best answer
  Ubungoubungo kuna sifa zinaitwa hard work na determination. hizo ndio siri za mafanikio, urefu/unene/weusi wan ngozi nk ni irrelevant.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umesahau wafupi wanaume wanaoa wanawake warefu. . and the opposite is true lol. .
   
 20. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  As opposite to the man on the profile pic. . weka ya. . . aah nimeshindwa kupata famous short figure zaidi ya marehemu kawawa. . napata waswas na analysis yako mleta mada how come nimeshindwa kupata picha ya haraka ya kijana mfupi aliyefanikiwa anayejuilikana ofcourse nilitaka nimshauri the boss abadili avatar yake. . Labda wanamiliki guests tu hahahaaa the boss am still laughing kwamba na una plan ya kufungua lodge real the guy akutake radhi!!
   
Loading...