jaqfantasy212
JF-Expert Member
- Dec 17, 2012
- 542
- 258
Unashangaa nini wakati wengi wenu ndio mnavyopenda hivyo ?
Wanaume watu wa ajabu sana!
Wataomba papuchi mapema iwezekanavyo, wakishapewa wanakaa pembeni na kuanza kuongelea vibaya kuhusu "wanawake wa siku hizi", watawaita majina yote ya kuwatusi wakati wao ndio wame initiate hizo tabia.
Mimi nawaona wanafki sana nyie viumbe!
Asante kwa kunisaidia!!