Why me?

Why me?

Inaonekana hauna pesa na mapenzi yako yamejaa ahadi butu ziczotekelezeka😩
 
Ukiona hvo jipange. Ingia kwenye habar zngine ikiwezekana hata kusaka pesa kwanza..
 
huenda,
hujui mapenzi (6x6)
unanuka domo
hauvitii na mbaya zaidi...
huna "HELA"


otherwise, kaoge mfweza fweza
 
kila siku unakutana na ampenzi mpya?
 
Jichunguze na ukishajitambua,fanyia kazi madhaifu yako naamini hilo tatizo litaisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom