Why me!!

Halafu unampigia unakuta simu yake inaongea kwa nusu saa wakati wewe uliyemnunulia vocha anaongea kwa sekunde tu..why you?
 
Hayatuhusu kabisa. This is absolutely private business. Nendeni mkayamalize huko na huyo mpenzi wako. Tumechoka kusoma mada zisizo na kichwa wala miguu. Acheni kushusha heshima ya JF!!



Aliye-design akili zako kwamba kila kinachoandikwa humu ni matokeo ya vurugu za mapenzi ya mtu binafsi kamdai chenchi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…