Why me!!

M.E.M.A

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
1,373
Reaction score
472
-Unajiskia kuongea na mtu unayemjali na kumpenda katikati ya busy and tight schedule yako kwa kumpigia kisha inapokelewa..."kata kwanza, nitakupigia", "ngoja ngoja kwanza", "nipigie baadae", au haipokelewi na unakuja ujumbe mfupi "piga baadae". Mmmh kwa hiyo mimi tu ndio sipo busy! Why me?
-Unaongea na umpendaye na kumjali anakuambia mipango yake mingi, na wewe unamuambia yako. Baada ya muda unaulizia jambo moja labda 'interview' imeendaje..unakumbana na swali..."interview gani"?. Baada ya kukumbushia ndio anajibu "k, mambo mengi xana si unajua"! Kwa hiyo kichwa changu ndio hakina mambo mengi hadi kinakumbuka yako tu!!? Mmmh why me?
- Ni birthday yake, unamkumbuka na wishes kibao unampa. Imefika yako ikatawaliwa na kimya kikuu. Ukiuliza jibu ni "jamani mambo mengi hata sikukumbuka kabisaa, i hope ulienjoy". Mmmh kwa hiyo kichwa changu ni diary ya kwako tu!!! Mmmh why me?
-Unakaa na namba ya mtu aliyokupa mwenyewe, kila unapompigia au kumtumia ujumbe..swali ni "we nani"? Unajieleza kisha.."ahaa nilibadilisha simu, niliibiwa simu, namba ilileta shida..nimepoteza majina yote". Kwa hiyo mimi ni phone book! Mmmh why me?
-Phonebook yako ina watu 500-2000+, lakini unawasiliana na watu watatu tu mwaka mzima.!! Mmmh why me?

Hivi ulishakutana na mojawapo ya hayo? Hebu jiulize leo...WHY ME?
 
Huko ni kujipendekeza. Achana naye, mind yoyour own business.
 
ukiona hivyo ujue unawaboa hao raia... jaribu kuwa creative uone... sio kila siku yale yale.... all in all kama wanakupotezea wapotezee na wewe.... FANYA YAKO... NAO WAFANYE YAO....
 
mi nikikupigia simu au nikikutumia sms na namba nauhakika tulipea wote ,afu ukaniuliza we nani sikujibu na namba yako naifuta kabisa
 
Mkuu diploma tu!! Mmmh why me?

..."kata kwanza,
nitakupigia", "ngoja ngoja kwanza", "nipigie baadae", au
haipokelewi na unakuja ujumbe mfupi "piga baadae". Mmmh kwa
hiyo mimi tu ndio sipo busy! Why me?
 
au anakudanganya kasafiri kumbe yuko nyumbani anakusaliti. why me?
 
Ana simu kaiweka password ananificha nisiijue, why me?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…