Why many Tanzanians don’t support their President


Do you want him to be friends with these bandits and hypocrites? Huyo Mohamed Dewji mnamsifia kuwa tajiri, mnajua jinsi baba yake alivyotuibia kupata hiyo mali? Manji ametuibia fedha zetu kule NSSF akishirikiana na Dau kwa kuchukua mikopo michafu na Pia alikopa fedha CRDB kwa idhini ya Kimei na mikopo hiyo ikawa kichefuchefu!!! Nape ni mnafiki na anastahili kuchukuliwa hivyo isipokuwa na Membe!!
 
10. The numbers don’t lie. Tanzanians are poorer than they were in 2015. Look at official NBS data.

There’s a lot more. But these should suffice for now. [emoji123]

Wacha uongo!
 
Hapa JF kuna jumla ya watu wasiofika takribani laki 6. Hata hivyo bado kuna tunaomsapoti Rais. Kwa hiyo wasiomsapoti ni 1 tu ambaye ni wewe. Bahati mbaya na wewe haupigagi hata kura ndugu yangu.
Sasa hii logic imekaaje? JF ina takribani watu laki sita, hata hivyo bado kuna wanaomsapoti Raisi(tuseme sawa), kwa hiyo au therefore wasiomsapoti raisi ni 1 tu (khaa hapa ndio nimeachwa hoi) ambaye ni wewe (PseudoDar186). What a great thinker.
 
Twaweza wanafadhiliwa, hivyo lazima walambe miguu ya mabeberu(wafadhili wao), ambao ni maadui wa dola ya Tanzania, ili kuwafurahisha.
Tanzania (serikali) pia hufadhiliwa kwenye mambo kadha kwa mantiki yako basi nayo lazima ilambe miguu ya mabeberu?
 
According to the poll by Membe?
Kwani Membe alishindana peke yake na Magufuli 2015? Kumbuka list yote walikuwa 42 jumla, na hawakuitwa kujieleza kwa wajumbe na hawakuchaguliwa na wajumbe wa mkutano ule, bali kikundi cha watu wa 3. Na wote hakuna anayeshirikiana naye.
Alianza kumchafua Prof.Muhongo, na kumdhalilisha kama kawaida yake Prof Muhongo akakataa kuonewa aka jiuzulu na kubaki na Ubunge na mwana ccm, akaja Mwigulu kamdanganya danganya, kisha kaanza kumchafua, mwigulu kaka kimya kama hayupo. January Makamba, vivyo hivyo, alimvizia mpaka kampatia kosa la kumfukuza.
Jiulize nani kabaki kati ya wale 42? Ni yeye tu.
Halafu mnatafuata mchawi nje ya CCM.
Hata angekufa kweli CCM ndio wangefurahi zaidi kuliko hata CHADEMA, kwa sababu unazozifahamu wewe.
 
Therefore he is a hypocrite
 
January Makamba, vivyo hivyo, alimvizia mpaka kampatia kosa la kumfukuza.

Unajua kuwa January Makamba alichukua shs Billion za wafanya kazi pale Nssf kutaka URAIS? Fedha zile zimeleta madhara makubwa sana kwani wafanya kazi wengi hawapati stahiki zao kutokana na shirika kukosa pesa; January ameshindwa kurejesha ikiwa ndio sabubu kubwa kwenda kumuangukia JPM! January na Dau wanatakiwa kuwa jela badala ya huko waliko hivi sasa.

Membe sio aliyebaki peke yake kati ya wale waliotaka kugombea!! Mbona alikuwepo Asha Rose na pia Amina Salum Alli?
 
Hata angekufa kweli CCM ndio wangefurahi zaidi kuliko hata CHADEMA, kwa sababu unazozifahamu wewe

Membe na genge lake are giving themselves some phsycological food kuwa iwapo JPM ataondoka wao wana uhalali wa kumrithi hence hizi series za tamthilia za Membe kutumwa na Kikwete kwenda kwa Mwalimu!

CCM haiwezi kuruhusu Kikwete arudi madarakani kupitia mgongo wa Membe ili hali record chafu ya utawala wake bado ni fresh miongoni mwa wananchi.
 
Mkopo wa January ni wake binafsi, na kila mkopo una masharti yake sio kwanini January akamuangukie JPM kwa sababu ya mkopo. Hivyo unataka kusema JPM kamsamehe January asilipe mkopo ule? au alimuangukia ili asimfukuze?.

Nchi hii unaielewa, hata Mama Samia Suluhu akisimama kugombea peke yake hachaguliwi, kwa sasa anaonekana alichaguliwa lakini ukweli yuko kwenye mbeleko, vivyo hivyo Asha Rose Migiro na Amina Salum ally wasingeshinda na hawashindi hata wakigombea, CCM ili wasukuma ili ionekane kuna wagombea wanawake lakini hawakuwa tishio kwa JPM, na ndio maana huoni akiangaika nao.

Asha Rose Migiro hata akigombea ubunge jimbo lolote HASHINDI, sasa kwanini asumbuliwe na JPM?
Wapo mahasimu wake na wenye ushawishi huko ccm ndio hawataki wao na wale wanao shirikiana nao. Membe ni mmoja wapo, Mwandosya pia ni mwingine.

Tuliza kichwa urudi kwenye mada, utaelewa kwanini tunasema chuki dhidi ya Magufuli haitoki nje ya CCM, bali ndani ya CCM na kuenezwa na wana ccm wenyewe. Na msingi wa chuki hizo ni uchaguzi wa 2015. Kwanza hakuchaguliwa kufuata misingi ya chama, pili hakushinda uchaguzi ule na sababu ni hao hao wana ccm walipoamua kumwaga mboga, tatu yeye alipoingia akajiapiza kuwashughulikia, Kumbuka alimfukuza Sofia Simba unanachama eti kwa kosa la maadili, Mbona hakumfukuza Emmanueli Nchimbi? na Mbona hakumfukuza Adam Kimbisa? Ile nisawa na Kumkuta mwanamke na mwaname chumbani kwako, ukaamua kumpiga na kumkamata mwanaume bila kujali wote walitenda kosa lilelile, lakini ukamuandama mmoja na kumuacha mwingine.
 
Naona kwa makusudi umeamua kuhama uzi au unajitoa akili. Uzi huu unauliza kwanini watanzania wanamchukia JPM. Hayo ya Membe kuingia kwa mgongo wa Kikwete ni yenu huko huko CCM.

Kwani Magufuli aliingia kwa mgongo wa nani, Si huyo huyo kikwete? Au nyie ndio wale Mkisha vuka daraja mnaling'oa ili mwingine asije kulitumia kuvuka?

Any way huo ni mtifuano wenu huko huko ccm.

Kwanini team Magufuli mnamuogopa Membe that much? Yeye hana bei? mmejaribu mkashindwa? Muacheni naye apambane na yeyote you guys call young blood a.k.a pandikizi la Magufuli.

lakini kumbuka Magufuli hawezi kuwachagulia watu Rais, anaweza kulazimisha lakini naye atapingwa labda zaidi yake mara 1000. Chuki dhidi yake ni kubwa, hivyo angeiacha iishie kwake, otherwise atakuja kushangaa, na huko ndio ataamini alikuwa hapendwi.
 
Kweli ujinga mzigo wa msumari...hii yako ni sawa na kuwaambia Wakorea wamfungulie kesi Kim Jong-un! Au kuwaambia Waganda wamfungulie kesi Yoweri Museveni! Au kuwaambia Warwanda wamfungulie kesi Paul Kagame!

kwamba unataka kusema haiwezekan ama? Kwan Trump hana kesi anazofunguliwa: sio lazma kesi ufugulie mahakama za nchini apa apa, mahakama zko nyingi duniani
 
Povu la nini yahe

Idadi ndogo mbona mnahangaika yahe

Mbona wajibujibu kama mtandao idadi ndogo yahe

Unaliwa ndogo yahe
 
Hakuna katiba mbovu ila wewe ndie mbovu

Hivi mkiamua wananchi kuna ugumu
 
Mkuu hapo kwenye kumkosoa na kumpa ushauri awamu hii inatafsiriwa kama " kumchukia na kumpinga". Kuna wa tz wenzetu wamepotea, wameumizwa, wamesukwasukwa/wanasukwasukwa kutokana na hiyo missnomer.
 
Kwani Magufuli aliingia kwa mgongo wa nani, Si huyo huyo kikwete? Au nyie ndio wale Mkisha vuka daraja mnaling'oa ili mwingine asije kulitumia kuvuka?

Magufuli hajawahi hata siku moja kuwa chaguo la Mkwere; kwenye mtifuano wa 2005 mkwere alipandikiza watu wake watatu akiwemo Membe na Wote wakazama!!!! Sasa wanatafuta njia nyingine ya kurudi kuja kuhujumu nchi na mkwere kuwajenga watoto wake kwa siku za mbele!!!
 
Hahaha unajidanganya wewe mwenyewe, lakini tunaufahamu ukweli, Magufuli asinge penya bila huyo unaye mtukana sasa, lakini ni kawaida huko, kung'oa madaraja mkiisha vuka mto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…