Thank you.
Kuna watu wana akili sana lakini kutokana na unafiki wa kisiasa wanafanya/kuongea mambo ya kijinga mpaka unashangaa kuwa huyu ndiyo yule scientist na philosopher tunayemfahamu hapa jf?
Siasa inapofusha watu kijinga kabisa.
It is so disappointing. Very disappointing.
CC: Kiranga